Habari wana jamii
Je kuna uwezekano wa kuhama chuo na kozi husika kwa mfano mtu umechaguliwa ualimu una qualification za kusoma nursing
je inawezekana kuhama kama chuo unachotaka kuhamia ni cha serikali
Habari wana javi naomba msaada kuhusiana na koz tatwa hapo juu tuliomba diploma lakini tunakuja kukuta certificate hatujui sasa msaada jaman ni sawa au hii isije kuwa ni ile ya english mediums
Nategemea ushaur mzur
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.