Je inawezekana kuhama chuo na kozi husika

Joined
Sep 1, 2016
Posts
27
Reaction score
4
Habari wana jamii

Je kuna uwezekano wa kuhama chuo na kozi husika kwa mfano mtu umechaguliwa ualimu una qualification za kusoma nursing

je inawezekana kuhama kama chuo unachotaka kuhamia ni cha serikali
 
Kitu ambacho unatakiwa kufaham NI VIGUMU SANA KUBADILI EDUCATION KWENDA COURSE NYINGINE HATA KAMA NI CHUO HICHO HICHO mfano unatoka Bs.ED kwenda MBB hata ufanye nn ila vice versa km una nawa tu!!!
 
UDOM inawezekana mkuu
 
UDOM inawezekana mkuu
na tambua UDOM ukisha pangiwa hizi coarse hichomoki kuhama faculty
Bsc physics
Bsc chemistry
Bsc statistics
Bsc maths
Bed zote za coed ila Bsc ed ukitaka kuhama mtelezooooo but co uhame uende nursing au md cjui hapo sahau na prof msofe atakuomba laki 6 kwa coz za natural scienc af kwa tiba laki 8.5 na engeneering zote lak 7.5 ila kwa humanities laki 5 tu
 
Atakuomba!!!! Inamaana ukikataa kuitoa hiyo pesa inakuaje mkuu?
 
Nakumbuka the time nnaanza kusoma BAGES hapo UDOM, nlitaka nibadilishe kwenda PPMCD ila process zake zlikua sio mchezo mpaka nikaghairi
 
Duuh,,ila naskia kuna baadhi ya vyuo kuhama kozi huwa inakua na rahisi sana
 
ndio lakini sio UDOM kama kuna mtu alipanguwa BED-PSYCOLOGY UDSM akafanikiwa kuhamia MEDICINE ila kwa UDOM hyo ni ndoto ya mchana kweupeeee peeeeh ata uwe T.O labda umtemee vidau msofe [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Au unawezajikuta unafatilia kuhama kozi mpaka unaingia third year[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cha kufanya ni kufungua moyo na kunywa maji mengi maisha yaende mbele lakin maji yeyew ya chumvi sasa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
na tambua UDOM ukisha pangiwa hizi coarse hichomoki kuhama faculty
Bsc physics
Bsc chemistry
Bsc statistics
Bsc maths
Bed zote za coed ila Bsc ed ukitaka kuhama mtelezooooo but co uhame uende nursing au md cjui hapo sahau na prof msofe atakuomba laki 6 kwa coz za natural scienc af kwa tiba laki 8.5 na engeneering zote lak 7.5 ila kwa humanities laki 5 tu

Duuh laki nane na nusu

Ila unatoa tu maana utairudisha fasta ukihitimu
 
na pia uelewe kuwa, ukibahatika ukahama chuo basi kama ulipangiwa kupata mkopo itakubidi usote semester nzima ndio boom lako litapelekwa kwenye chuo ulicho hamia.
mi binafsi nimeshuhudia hiyo kitu kwa jamaa zangu wawili walio hama kutoka st joseph kwenda Udom na mwingine udsm.
walikaa semester ya kwanza bila boom, likaja kuingizwa semester ya pili.
kama ukihama basi jipange pesa ya kujikimu kwa muda wa semester moja nzima
 
Back
Top Bottom