arusha nalompa
Member
- Aug 4, 2016
- 83
- 37
Lazma uanze satficate ndo uchukue diploma kwan hujaskia waliopo vyuoni wamekatishwa hiyo cozare you sure
Lazma uanze satficate ndo uchukue diploma kwan hujaskia waliopo vyuoni wamekatishwa hiyo cozare you sure
Mkuu kwel hi thread yako hatar. iscreenshort sku moja uje uipitie ndio utaelewa kwann watu wanakwambia hzo koz coz hazkufail... Text fupi unajikoroga namna hyooIv jaman tusaidiane kama kuna walimu walio dahili diploma je wameshapata muafaka wa vyuo hivyo na wsnaenda lini kuriport mm cielewi nimechaguliwa ad nakata tamaa maana hata chuo wanakwambia hawajui siku ya kufungua hii secta imekuwa magumash sana profeesion haieleweki sasa iv division three jaman nishaurini ualimu na phamace kipi kinalipa hapo
Chochote kinalipa kama utatumia akili yako vizuri, hakuna sector itakayokufanya uwe tajiri kama hujiongezi. Unadanganywa bhana mdogoIv jaman tusaidiane kama kuna walimu walio dahili diploma je wameshapata muafaka wa vyuo hivyo na wsnaenda lini kuriport mm cielewi nimechaguliwa ad nakata tamaa maana hata chuo wanakwambia hawajui siku ya kufungua hii secta imekuwa magumash sana profeesion haieleweki sasa iv division three jaman nishaurini ualimu na phamace kipi kinalipa hapo