Cbusara kutumia rugha kari Na zamatusi ndugu pia tuvumiliane Na tubishane kwa hoja kwan twatofautiana kimawazo Na fikra hats uelewa pia ndomaana wengine nikushabikia tu hata wasio ya fahamu
Hapana a2ibii serikar ila EFDs zinauzwa gharama kubwa na wakara pia znawah haribika Na gharama ya kuzitengeneza Ipo juu Na karatasi za receipt zinauzwa Na wakala huyo huyo kwabei anayotaka salsa hiyo cnibiashara ya ku2nyonya?????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.