Recent content by Eliud Bunju

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kutoa mimba

    no
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kutoa mimba

    yaani huyo mwanamke anataka matibabu anasema alipata changamoto wakati anatia mimba
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kutoa mimba

    Kuna jamaa mwanamke wake katoa mimba mwezi wa 7 mwaka jana Leo anamwambia anaumwa tumbo anataka waende hospital akatibiwe hio changamoto au atume hela
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti WA kazi amapakua chakula miguu ikiwa amepanua

    Habari wana JF Kuna ishu siipendi lakin pia nina mashaka nayo kwa dada wa kazi nyumbani kwangu. Akiwa anapakua chakula anapanua miguu halafu sahani sufuria kila kitu anaweka katikati ya miguu anaanza kupakua ....? hii haijakaa kishirikiana?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii naweza kutumia bati na tofali ngapi. Nina Milioni 3 hapa

    tayari tofari 1000 zipo site Kuna kaslope kadogo sana upande mmoja katika kiwanja..
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii naweza kutumia bati na tofali ngapi. Nina Milioni 3 hapa

    Habari wakuu Hii ramani naweza kutumia bati ngapi na tofali ngapi? Kwa ujumla naweza kutumia tsh ngapi maana Nina million 3 hapa kibindoni
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nyumba yetu ya familia imepigwa X ya kijani?

    Sawa kaka
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nyumba yetu ya familia imepigwa X ya kijani?

    ,dah 😂
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nyumba yetu ya familia imepigwa X ya kijani?

    Naomba anayefahamu kuhusu maana ya X ya kijani ni Nini? Maana hapo mwanzo mwaka 2006 nyumba yetu ilivunjwa sehemu yote ya mbele lkn safar hii wamekuja kuweka X ya Kijani. Nyumba yetu hipo barabara kuu eneo la riverside.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki iphone

    Ni kosa kuomba ushauri
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki iphone

    Habari wakuu Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/= Naombeni ushauri wenu wakuuu. Msinione bogazi wife wangu nampenda sana nilitaka nimpe zawadi ya simu kali sasa...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Hahaha dah 🤣
  13. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Enterogermina inatibu Nini?

    Asante
  14. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Enterogermina inatibu Nini?

    Naomba kujua hii dawa Enterogermina ni kwajili ya Nini? Msaada kwa mtaalamu anayefahamu.
  15. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa 2000 amenipenda mimi na watoto wangu

    Wakuu Kuna Binti wa 2000 hajaolewa lkn ametokea kuwapenda sana wanangu wawili wa kiume. Kiasi kwamba ananiambia ni mahandsome sana, Sasa Jana nilikua na chati nae akasema anataka kwenda kwao Tanga maana kibaha anaboleka anataka kutoka out lakini hana kampani, nikamwambia njoo mlandizi nikutoe...
Back
Top Bottom