Recent content by elitehustleceo

  1. elitehustleceo

    JamiiForums Usije ukadanganyika: Betting na Forex ni kitu kimoja?

    Kikubwa ni mkwanja uingie na wengi wanaokurupuka kama wewe kuingia kwenye forex wakijua ni kama tu kubeti ndo kinawaramba mimi sipo upande wowote lakini tu ukweli ni kwamba forex ni business kama business zingine ndo mana hata banks wanafanya lakini huwezi kukuta hata siku moj NMB/CRDB ameweka...
  2. elitehustleceo

    JamiiForums Kwa nini Kamari inaruhusiwa Tanzania ?

    Kwa hyo wewe bora uwe shoga kuliko kubet hafu ukiingiza dini kwenye hela utazisikia tu kwa jirani
  3. elitehustleceo

    JamiiForums Kwanini matajiri wengi wa kiafrika wakifa na utajiri wao unakufa rasmi?

    Afrika utajiri wetu unatokana na industrial economy wenzetu wamewekeza zaidi kwenye connected economy lakin wengi watasema hela za manyoka
  4. elitehustleceo

    JamiiForums Watakuzingatia endapo watajua wewe ni wa tofauti.

    Maisha kufanikiwa ni simple to remove all distractions and find a way to *** it
  5. elitehustleceo

    JamiiForums Hivi ni kwanini baadhi ya Waafrika wana akili ndogo sana?

    Unapoleta mada epuka kutumia general idea mimi sizani kama waafrika wote wapo hivo ila tu ni wengi ndo wapo hivo
  6. elitehustleceo

    JamiiForums Kuanzia leo nimeacha kubishana na mtu ambae elimu yake ni kidato cha nne kushuka chini

    Me nikiona tu mtu kaandika kudadavua me siwez kubishana naye mana hawa ni wale wanaokariri mambo
  7. elitehustleceo

    JamiiForums Kuanzia leo nimeacha kubishana na mtu ambae elimu yake ni kidato cha nne kushuka chini

    Wewe mwenyewe zuzu tu kama mazuzu wengine
  8. elitehustleceo

    JamiiForums Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Kawaida bro kuna watu hawana malengo yoyote yan yeye akila leo ikaisha bas hana kitu cha maana kichwan na wengi wao ni kuweka tu bando na kuanza kulaumu serikali kumbe tatizo ni yeye mwenyewe.
  9. elitehustleceo

    JamiiForums Kushinda na simu bila kupigiwa wala sms,siku ya kihistoria kwangu!

    Sisi kwetu ni jambo la kawaida labda sms ya songesha,betika,tatumzuka, mchongo pesa na vodaofa
  10. elitehustleceo

    JamiiForums Iran imeshambulia vituo vya meta kwa kutumia silaha za kielectronic

    Mke wa mada mwenyewe haelewi alichoandika
  11. elitehustleceo

    JamiiForums Ujinga zingine ziko kwa DNA 😄 🤣 😂 😆 ni ngumu kuwatoa wafuasi wa huyu kwa huyu .......apeli najua kuna watu bado na hii wataamini 😄 🤣

    Wajinga ndo waliwao na ukijaribu kuwaelekeza watakwambia unakufuru
  12. elitehustleceo

    JamiiForums Wakristo nunueni vitabu vya waislamu msome

    Dini ni kwa ajili ya watu ambao ni wavivu wa kufikiri
  13. elitehustleceo

    JamiiForums Msaada wa website ya kustream movies online

    Yts unacopy magnetic link then una download kupitia IDM
Back
Top Bottom