Recent content by elite wa Geita

  1. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga viwili

    Rafiki kitu usichokijua si vizur kukisemea vibaya hujaifahamu hii nyumba,wewe si muhitaji hii nyumba ni moja ya nyumba classic na siba haja kuipigia debe inajieleza kwa muhitaji, na haipo uswahilini si tungi hiyo ujuayo wewe hapa si mbali na kwa Msomari sheli.
  2. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga viwili

    Chumba na sebule 130,000/= Tungi kigamboni sehemu nzur wapangaji 3
  3. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Kuna mambo mawili unatakiwa uyatofautishe kwanza bitcoin ni kitu kingine na Bitclub ni kitu kingine, yaani Bitcoin ni Pesa ya kidigitali mojawapo ya cryptocurrencies na Bitclub ni Mining Pool Company inayojihusisha na Bitcoin Mining, ipo Asia,Europe na nchi za Africa kuna South...
  4. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Baba zangu wadogo Paul Kisandu na Aloyce Kisandu hawakuwa Majambazi bali Michezo michafu ya majambazi

    Deogratius Kisandu ungeomba ushauli mimi ningekupa ushauli mzuri na huenda ungekusaidia sana, kumbuka hivi sasa unasema umechoka kuonewa sasa ni kisasi juu ya kisasi yani bora kuuana kuliko kudhalilishwa hapo inamaana kwamba utapoanza kudemand Revenge ukafanya jampo lolote illegal...
  5. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Habari ndungu zangu kwanza niwatakie mapumzika mema ya siku hii ya jumapili tunapouanza mwezi huu wa kumi. Pili napenda kutoa shukrani za dhati kwa watu wote waliofatilia chapisho langu nililoelezea kuhusu Bitcoin kwa kiasi kiukweli nimepata maswali mengi mengi sana mengine yakiulizwa moja kwa...
  6. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Hapana elimu yeyote kubwa unayohitaji ili uweze kuitumia, ila kuna uelewa kiasi tu unaotakiwa kuufahamu na baada ya kuzoea ni jambo la kawaida tu kama vile unapohifadhi pesa Tigo-Pesa au M-Pesa ama unapotuma na kupokea kwa mtu mwingine.
  7. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Vizur pata namba yangu inbox halafu tutaanzia hapo maana kuelezea kwa kuandika itachukua maneno mengi
  8. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Ikiwa leo 1 bitcoin = $ 4,264 au Tsh 9,560,390 sasa niambie huyu mtu leo hii anamawazo gani tena?
  9. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Asante sana kwa kunisaidia mkuu, huyu Bwana anahitaji kukili kosa halafu ajifunze kukosea si ujinga, ujinga ni kurudia kosa tena na tena
  10. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Unaposema hazionekani wamaanishaje hasa? Maana bitcoin unauza na kununua pia unalipia bill za bidhaa mbali mbali kwa bitcoin
  11. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Pole ndungu, ninachokiona kwako uliingia huko ukiwa hukapata elimu ya kutosha juu ya cryptocurrency kwanza ulitakiwa ujue cryptocurrency ni nini na kuna coin ngapi zinazotambulika. Kuna baadhi ya makampuni yamekua yakitapeli watu kwa kutumia jina la Cryptocurrency na watu wengi hasa watu wa...
  12. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Haha..kiongozi wanasema ukitaka kujitangaza usipondee kitu cha mwenzako bali zungumza mazur yako watu wenyewe watajiongeza na kujua yupi ni yupi, sijawahi kusikia Apple wakisema simu zao ni nzuri kuliko Nokia au Sam Sung bali husema ni bora kuliko simu nyingine halafu hawamalizii sentensi, vivyo...
  13. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    www.localbitcoin.com kuna sehemu ya sell and buy tembelea sehemu ya sell utajifunza pale
  14. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Ukitaka kuanza kufanya trading pia itakubid uwe na kiasi kikubwa walau cha bitcoins ila ukiwa tayar umeifahamu elimu ya Cryptocurrency na ukapata kujua kwa undani kuhusu Bitcoin unaweza kuanza kuuza muda wowote na kwa mtu yeyote hata bila kwenda kwenye site za mauzo na manunuzi za...
  15. elite wa Geita

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Ku sign up hauhitaji kulipa hiyo, unaweka Email address na Username yako baada ya hapo utapata access ya kusoma yaliyomo ndani ya site ya kampuni hilo
Back
Top Bottom