Recent content by elishaeli

  1. E

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Natamani sana nianze kilimo cha vitunguu maji,nahitaji msaada wa watu wanaolima vitunguu maji maeneo ya Mto RUVU ( nimesikia kuna watu wanalima Ruvu) au kama kuna watu wanaolima kitunguu maeneo ya Kilwa Masoko sehemu iitwayo Makangaga. Kama kuna mtu analima katika haya maeneo naomba...
  2. E

    Mbao za Mninga na Mpodo

    Kijana hiyo 14,000/= ni bei tu ya kulipa wapasuaji na kusafirisha ubao toka porini..bado kuna fedha ya kibali toka mali asili ambapo kibali cha kupasua mbao ni 305,000/= alafu kuna leseni ( kule kugonga mbao) kila ubao ni elfu 14,000/= au zaidi kutokana na size ya mbao,alafu bado kuna gharama za...
  3. E

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Hizi mbao ziko Tanzania, ukiwa unazihitaji unasema uko wapi na bei inategemeana na eneo uliloko maana pia inategemea na gharama za usaifiri kuzileta huko uliko. Ni mbao za mninga kutoka kusini mwa Tanzania, kwa sasa size ambayo ipo ni 2x10x10, kama uko Dar es salaam bei ya rejareja ni...
  4. E

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Hello; Kwa yeyote anayependa kununua mbao za mninga size 1x10x10 au 2x10x10 unaweza wasiliana nami. Ninauza kwa bei ya jumla na rejareja pia..Na kama unahitaji size nyingine pia waweza niambia na zitaandaliwa kwa ajili yako.
  5. E

    Nauza mbao za mninga size 2*10*10

    Hello; Nina mzigo wa mbao za mninga zenye ujazo wa 2*10*10,yeyote anayehitaji kununua kwa jumla au rejareja anaweza niambia anahitaji kiasi gani na tutaongea kuhusu bei kutokana na idadi ya mbao unazohitaji. Pia waweza nipigia 0689112162 ili kuongea kuhusu idadi na bei.
  6. E

    Mbao za MNINGA size mbalimbali

    Hello,kama bado kuna yeyote anayehitaji mbao za MNINGA size 2*10*10 aniambie,ninazo za kutosha. Kama uko DMS nitakufikishia hadi ulipo kwa idadi unayohitaji
  7. E

    Msaada wa kujua soko la mbao aina ya mninga dar es salaam na kwingineko

    Kama kuna mnunuzi wa mbao za mninga size 2x10x10 tufahamishane,niambie kuwa unazihitaji nami nitakuachia kwa bei ya jumla..Huwa nazileta dar es salaam kila mwezi. Nijulishe unahitaji ngapi na kama kuna size nyingine unahitaji nijulishe pia na zitaandaliwa kwa ajili yako
  8. E

    Soko la mbao za mninga

    Dah najua muda mrefu umepita toka hii post iwekwe hapa,ila bado nahitaji kujua kama kuna mtu anahitaji mbao za mninga 2 x10x10. Kama yupo just let me know ili tufanye biashara.
Back
Top Bottom