Hivi demu wako hataki ujiunge na FB ukakubali kutokujiunga nayo mwisho wa siku uko na msela wako ambaye yupo Facebook na unajua ameoa anakuambia kuna demu ambaye anatafuta mwanaume, unamwambia utakikumjua lakini anakulazimisha kumwona unakuta ni demu wako je ungefanyaje kama ni wewe?
Please...
Wadau wa JF naomba maoni kwa hili, umemtongoza demu akakubali poa lakini ulikuwa unataka kupita naye tu akakuuliza jina ukamdanganya kwenu pia ukamdanganya halafu mwisho wa siku upo home umekaa unasikia geti linagongwa mama yako anaenda kufungua anakutana na mwanamke anamuulizia mtu kwa jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.