Recent content by Elisha benson

  1. Elisha benson

    Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

    Shetan yupo kati yetu, kazi yake kubwa ya kwanza ni kutambua mawazo ya binadam anawaza au anataka kufanya nini, kama unawaza kutenda mema basi hapo atafanya linalowezakana kuvuruga mawazo yako mema, tukumbuke kuwa shetani ni malaika walioasi mbinguni, wakafukuzwa huko, kwa hiyo wana uwezo mkubwa...
  2. Elisha benson

    Mfahamu malkia wa kuzimu

    Wewe sali sala yako muda wowote, Mungu hana mipaka ya muda kwa wale wanaosali mbele zake
  3. Elisha benson

    Mfahamu malkia wa kuzimu

    Hakuna pepo liwezalo kuzuia sala iliyotoka moyoni mwa mtu mnyofu, kuwa na iman kamil kwa Mungu na ukumbuke Mungu mwenyewe ametufundisha kusali na pia hayo mapepo yameumbwa na Mungu na baadae yakamuasi Mungu, mapepo hayawezi kuzuia sala timilifu, yanachofanya ni kumshawishi mwanadam asisali kwa...
Back
Top Bottom