RIP KAMANDA!! This is sad!!! Huu ni mcba matusi ya nguon ya nn jaman..toa hoja,maoni au uliza swali!! Na suala la picha plizzz hii ishu sensitive c kila mtu hasa familia itapenda kuona picha ya aina hyo kweny media,,,,huyo ni mtoto wa mtu,kaka,mume na baba wa familia tulifikirie hlo pia,,,picha...