Recent content by Elimu ya Sheria

  1. E

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wapangaji Tanzania

    Sheria ipo. Inaitwa Sheria ya Ardhi Tanzania. Sema binadamu wengi (sio Watanzania tu, hili ni tatizo la dunia nzima) sio watu wa kusoma, bali ni watu wanaopenda kusomewa. Kwa mujibu wa sheria ya ardhi (kifungu sitakupatia, vifungu huwa vinalipiwa) kodi yako ikishaisha wewe ni mvamizi sio...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi naomba msada wa Kisheria

    Kwa lugha nyingine Mwajiri wako anafunga ofisi (biashara hailipi). Sio kwamba umefanya kosa lolote. Kikubwa ni akulipe stahiki zako zote kwa mujibu wa mkataba. Maana kama anafunga biashara ni kwamba ajira alizokuwa ametengeza ndo nazo zinakufa.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Jifunze Sheria kwa njia ya mtandao

    Sheria ni elimu muhimu sana kwa kila mtu kuijua kwa sababu mbalimbali ambazo ukishakuwa mtu mzima huhitaji kuelezwa sana, maana utakuwa ushakutana na mkono wa sheria katika mapito ya maisha, au ushapoteza haki zako kwa kutojua sheria. Hivyo basi nawakaribisha wale wanaotaka kujifunza katika...
  4. E

    JamiiForums Tanzania DPP atoa muongozo kuhusu Watuhumiwa wa Uhujumu Uchumi kulipa fedha walizotafuna ili kusamehewa

    Akirudisha apunguziwe adhabu, sio kusamehewa kabisa. Maana anaweza akashindwa kuona uzito wa kosa alilofanya. Adhabu ya wizi ni kifungo cha miaka 7 hadi 15 jela kutegemea umeiba nini na katika mazingira gani. Sasa kwa uzito wa adhabu hii asiachiwe kabisa. Akirudisha kwa mwenyewe mali aliyoiba...
Back
Top Bottom