Recent content by Elimsonko

  1. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa anao uwezo wa kushinda Urais uchaguzi wowote Tanzania

    Tume huru ndo mwarobaini wa ukombozi na mabadiliko popote pale, ila kwa tz tutazame njia nyingine la sivyo mchezo ni ule ule tu.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Najivua uanachama wa CCM kuanzia usiku wa leo

    Hongera sana kwa kufanya maamuzi yaliyo sahihi.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama Yazuia NHC kupiga mnada mali za Freeman Mbowe

    Tusubili maamuzi ya mahakama, na tutambue kila kitu kinafanyika kwa mjibu wa katiba, nini kitatokea endapo Mbowe atatakiwa kulipwa fidia kulingana na kauli ya Magu.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli lazima aambiwe ukweli: Viwanda bila umeme na miundombinu ni ndoto

    Kiongozi yeyote anaye ongoza kwa vitisho utambue hana lolote, hapa hakuna viwanda ni vitisho tu.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania yetu kweli ndio nchi yenye furaha kuliko zote duniani

    Furaha ipo kwa wale wanaotoa lugha za uchochezi lakini hawachukuliwi hatua, mfano juzi umesikia wenyewe yule jamaa wa kukulupuka alivyo toa lugha za uchochezi hadharani.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mahakimu 11 wafukuzwa Kazi, wengine 30 kikaangoni

    Nimeamua nchi iende na itaenda, Sawa mkuu nchi iko mikononi mwako na Mungu huyo huyo anaye dai amwone ktk utawala wake anajua hilo ila akumbuke Taifa linaendeshwa na Wananchi wote si mtu mmoja.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Ipo siku ujinga huu utaisha , kwa kuwa sio leo wala kesho, ila tukumbuke kuwa wale wote duniani walio ongoza na kufanikisha mapinduzi walikuwa ni Wasomi hasa waliokosa ajira, tuache hii mifukuto iendelee matunda yatatokea tu.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni Sept 7, 2016: Chenge aionya Serikali kuhusu mazao, Nchemba amjibu Mbowe deni la Taifa

    Chenge na hofu ya chama chake kuwa mikononi mwa magu, naamini wanachama walio wengi ndani ya ccm hawakubaliani na mwenendo wa Mwenyekiti wao ambaye ni raia wa Nchi, fikira zikiwa huru nanyi mtakuwa huru. Semeni kweli.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mrema: Maandamano ni uhaini, apokea taarifa za utekelezaji wa sheria parole kutoka Magereza

    Kheri kularuka nguo kuliko akili, Ipo siku magereza yatafunguka ili wenye haki wawe huru. Mzee kazeeka sana.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Sina mpango wa kuhama, bila mimi CUF haipo

    Mtu hawezi kuwa juu ya taasisi siku zote, Lipumba alijiuzulu kipindi ambacho wengi hatukutalajia kwa kuwa aliamua ni vema akaanzishe chama kingine
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mtatiro Aukataa uenyekiti CUF

    Awanie asiwaniwe kikubwa mapambano ya kuwang'oa CCM uendelee.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Alichoandika Julius Mtatiro Facebook baada ya Prof Lipumba kuzungumza Azam Tv

    Bi Kirembwe anapo fika mwisho hutapatapa sana, prf ameishiwa nguvu. Mtatilo we songa mbele si mda wa kuwavumilia wasaliti.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo siasa zinazotakiwa kati ya Serikali na Wapinzani

    Demokrasia huleta maendeleo , huwezi minya demokrasia kwa gia ya kuleta maendeleo, Ni Utumwa.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais yakanusha mama Samia Suluhu kujiuzulu umakamu wa Rais

    Hajakurupuka kutoa ile habati tumsubili Makam wa Rais atoe kauli
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Hali ya uchumi ni mbaya

    Ukweli utazidi kuonekana, huwezi kuendesha nchi kwa takwimu magu akubali ushauli wa Wataalam wa Uchumi ila kwa kuwa huwa hashauliki
Back
Top Bottom