Hivi Tanzania yetu kweli ndio nchi yenye furaha kuliko zote duniani

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Wana JF leo bana nimeusikia wimbo mmoja wa zamani sana japo mi ni kijana bado lakini wimbo huu umenifanya nijiulize hili swali.

Wimbo huu kwa wale wanaopenda nyimbo nzuri wataujua tu umeimbwa na kundi 1 la atomic jazz na unaitwa Tanzania yetu ndio nchi yenye furaha na waimbaji wanasema kote ulimwenguni wanajua kuwa Tanzania ndio nchi yenye furaha

1 Inawezekana enzi hizo za JK Nyerere kulikua na full happy
2 Au waimbaji waliimba tu kujifurahisha mbele ya viongozi wetu
3 Najiuliza hivi kweli tanzania kuna furaha kwa wanaoishi humo

Kwangu mimi siwezi kusema ndio au hapana maana inategemea kila mtu namna anavyoishi ndani ya hii nch.

Hivi na nyinyi wana jf mna furaha kama huu wimbo wa atomic jazz unavyosema?
 
Una umri gani?? Ila yes we were very happy na soon we will be very happy!
 
hahaa nafikir waliimba kinyume...kuna shirika lilifanya utafiti..na kugundua tz ni moja kati ya nchi ambayo wananch wake hawana furaha
 
Furaha ipo kwa wale wanaotoa lugha za uchochezi lakini hawachukuliwi hatua, mfano juzi umesikia wenyewe yule jamaa wa kukulupuka alivyo toa lugha za uchochezi hadharani.
 
nilimsikia bana mara juzi kati hapa nikasikia toa nnje kama ulivyomtoa yule jaamaa
 
Back
Top Bottom