Recent content by elimsihi

  1. elimsihi

    Wafanyabiashara wa Karikakoo watoa msaada Wa milioni 8 Gongolamboto

    Kikundi cha wafanyabiashara wanawake wa Karikakoo kinachojulikana kama Matumaini Mapya, kimekabidhi msaada wa viti 120 vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 8 katika kanisa la kipentekoste la Elbethel. Tukio hilo lilifanyika siku ya 7/7/2024 kanisani hapo Moshi Bar, Gongolamboto kwenye ibada ya...
  2. elimsihi

    Mwanamke wa mkoani kaniingiza mjini, naomba msaada wenu

    Karibu mjini mwanetu, huku kikubwa akili tu.
  3. elimsihi

    Kulinda Miamba ya Matumbawe ya Tanzania: Vita Dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi

    Miamba ya matumbawe ya Tanzania, ambayo ni miongoni mwa yenye bioanuwai kubwa zaidi duniani, inakabiliwa na tishio la mabadiliko ya tabianchi. Kuongezeka kwa joto la bahari kumesababisha kukauka kwa matumbawe, na kuhatarisha maisha ya viumbe vya baharini na riziki za jamii za pwani...
  4. elimsihi

    SI KWELI Mbunge wa Kaunti ya Tongaren, John Chikati ashambuliwa na waandamanaji kwenye Maandamano ya Gen Z Kenya

    Inadaiwa kuwa picha hii inamuonesha Mbunge wa Kaunti ya Tongaren Kenya, John Murumba Chikati akiwa amevamiwa na kushambuliwa na wananchi baada ya kupigia kura ya ndiyo Muswada mpya wa Sheria ya fedha.
  5. elimsihi

    SoC04 Mabadiliko katika teknolojia ya mawasiliano na uchukuzi

    Ni mwaka 2034. Tanzania imebadilika kabisa, ikiwa na miundombinu ya kisasa ya mawasiliano na uchukuzi inayotumia teknolojia za hali ya juu. Haya yote yalianza na maono thabiti na mipango kabambe iliyowekwa mwaka 2024. Katika kipindi cha miaka kumi ijayo, tunaweza kubadilisha sura ya nchi yetu...
Back
Top Bottom