mshenzi, kama hujui si utulie. Halafu ww jamaa unafanya kaz kweli maan kila nikifungua jf nakutana na coments zako tu tena za hovyohovyo tu! Nan anakulisha wewe?
Duu! Na ww hujui kuwa Mbowe amejiandaa kuvuruga nchi baada ya kushndwa uchaguz na hvo ameanza kuhamisha kila kilcho chake! Amebakiza ndg zake maan watoto walshatangulia Marekan. Cdm ya El na Mbowe haitufaiii!
nmefanya utafti wa kipndi hiki cha uchaguz nikagundua kuwa kila alpo mwana ccm akiwa ansoma gazeti bas huchanganya magazet ya kila aina had tanzania daima, lkn nmeona wana cdm wao ni mawio na tz daima tu. Hapa nikaamin ndyo maana ni malofa.
kwel cdm ni mbulula, siasa na biashara wapi na wap! Juzi mlchangsha maskin et chama hakna pesa. Jamaa wa madili wamegawana sasa. Watawachagua wapumbavu wenzenu!
ukawa hasa cdm weng ni vilaza. Uktaka kuhakksha hilo waambie wakaskilze mikutano ya vyama vngne tofauti na ukawa hawaendi. Eti wanaogopa wataambiwa ukweli wabadilke waukane ukiwa.
Umenena kweli tupu mkuu. Hakuna mwandish nilyemwanin na kusoma habar zake kam Kubenea kumbe ni mbulukenge kabisa! Kwa sasa staki hata kumskia. Altuaminisha nch hii inadhuluma, wez, majiz, majambaz na wala rushwa akina edo na genge lake kumbe sivyo. Huy jamaa hafai hata kuwa mjumbe wa nymba kumi!
mwny akili tmamu hawez kujiunga ukawa ila waliokataliwa kwao km akina Makaidi, mbatia, el na malofa wasiojtambua. Mwny akil sawia wala hahangaiki na ukawa maan ni chombo mfu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.