Recent content by elicklucas1

  1. E

    JamiiForums Tanzania Katambi: Serikali imetenga Milioni 100 kuwalipa watoa taarifa za uhalifu nchini

    Nimeisha toa tarifa na malalamiko sasa yapata mwaka ila akuna hatua za kisheria wanazo chukulia walifu licha ya kulalamila raia wa kigeni wana shirikiana na wazawa kuiba ardhi ya taifa ila wapi ni udhuni sana kwa taifa anitafte mimi nimpe ushaidi A.z sijapata haki yangu nikidai haki...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuchukiwa kazini

    Kaka tatizo la kuchukiwa kazini bila sababu za msingi ni wazi kuwa umewazidi kitu Cha kukushauli hapa ni kimoja wewe jikutr katika ibada za kweli Lia na Mungu wako acha kulia na wanadam uwezi mtegemea Mungu ukawa na mwisho mbaya una madui wengi Wana kuchafulia nyota yako na maisha yako Ili...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

    Mkuu kwa ushauri wangu chanzo cha yote haya yanayo kusibu ni mama mkwe kumwalibu binti yake kwa kumjaza sumu za ujinga na kutojieshimu ni ngumu sana mtoto kugoma kumsikiliza mzazi kuna mambo mawili hapa mkeo kukubali ushauli wa mama kulinda bland yake kwa mama yake au kukubali moyoni hila...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Elimu ya alama lugha ya alama itolewe katika kila ofisi ya Umma

    Kero moja wapo inayo wakumba watu wenye ulemavu wa kutosikia yani viziwi katika ofisi za Umma au atawatu binafsi ni ubaguzi wa kutoelewana. Unakuta kiziwi anahitaji huduma ila wahudumu wanashindwa kuelewana nao na kutokana na wingi wa watu wanamua kuwatelekeza na kuwambiaa wasubiri huku wengine...
Back
Top Bottom