Recent content by Elias Misinzo Maligo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Professa Palamagamba Aidan Kabudi mwalimu wa Tundu Lissu mwaka wa kwanza sheria, atasimama mahakamani kumwakilisha CP Awadh dhidi ya vibaraka

    Kesi yoyote ni ushahidi uliopo, siyo kwamba huyu alikuwa mwalimu wangu.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumejifunza nini kupigwa Risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump?

    Hiyo ilikuwa MBINU ya Trump na Chama chake kupata mvuto. Haiwezekani risasi iparaze sikio na shavu, MBINU ya kumpunguza Biden makali ya kampeni. Trump mwenyewe alikodi wahuni wakaingia Ikulu kwa kuruka ukuta, Trump hayuko sawa kichwani.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atua Chuo cha Taifa cha Ulinzi na kutoa Mhadhara juu ya Falsafa yake ya 4R katika kuongoza serikali yake

    Kichwa Cha habari hakilingani na huo mlolongo wa maelezo.
  4. E

    JamiiForums Tanzania SOMA: Namna BIBLIA ilivyotabiri kipigo cha GAZA na Majirani zake, na namna GAZA ilivyokuwa ikisurubiwa toka enzi za manabii

    Quran 5 21, Quran 17:104, Quran 26:5 zote Allah anasema nchi iliyokuwa inamilikiwa na Mashujaa makafiri Makanaani aliwapa Waisrael wakae, Sasa wewe uko kinyume na Allah ambaye kwenye Aya hizo anawaita Waisrael waja wake.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Je Biblia inajipinga yenyewe katika maandiko yake mfano Zaburi 109 inapingana na Mathayo 18:21?

    Yohana 1:17 Torati ilikuwa kwa mkono wa Musa, Neema na kweli kwa mkono wa Yesu. Musa kaja na sheria za jino kwa jino, Yesu sheria za upatanisho, maagano mawili tofauti.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kufanya unyama Palestina, wasiingie nchi yoyote duniani kuamrisha ujinga ujinga wao

    Kinachoendelea Gaza ni kutimia tu kwa utabiri wa Nabii Amos 1:7. Mungu kupitia kinywa Cha Nabii Amos 1:7 alisema: "Nitapeleka moto kwenye Kuta za Gaza. Haya tunayaona yanatimia, Kuta za Gaza zinawaka moto. Madhambi ya Hamas 0ctober 7 yamepelekea Kuta za Gaza kiwaka moto, siyo uwezo wa Netanyahu...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Msemaji Yanga kazidisha utani. Hebu tazama picha na maelezo

    Wasingefungwa goli 23 wangesema tuna ngome imara, ukuta wa Yeriko.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

    Utabiri wa Amos 1:6 kuwa Kuta za Gaza zitawaka moto unatimia, Hamas walichokoza kitu wasichokimudu, sawa na Taiwan kuivamia China wakati wanajua kitakachowakuta.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 ya kifo cha Magufuli: Haya ndiyo mabaya yake katika utawala wake

    Sasa wewe unayejua huo ukweli usaidie kufafanua.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga warudiane

    Unakumbuka shuka asubuhi? Ulishagawa point 6 subiri mwakani.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    Utabiri wa Ezekiel sura ya 38 unatimia. Gog Yaani Urusi watajiunga na Magogu Yaani Iran kuivamia Israel, hapo ndio utukufu wa Bwana Mungu kwa watu wake Israel utakapoonekana . Hizi ni dalili tu unabii utatimia Iran na washirina wake hawataweza.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga: Kocha mpya aambiwe mapema

    Wewe mwongo, mecbi hiyo watatu walihujumiwa, Morrison, Juma Abdul na Yondani wakacheza chini ya kiwango. Ile mechi Simba hawana cha kujisifu.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Yanga yamtimua Kocha

    UMESEMA KWELI, Mikia wana kiherehere balaa. Wao walimtimua kocha wao mwenye kidevu cha mbuzi bila sababu.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Hofu Yatanda Kwa sisi Washabiki wa timu ya Wananchi

    CHAMA mmoja sawa na nini? Kwani Simba walipofungwa 1-0 na Yanga, Chama hamuwemo? Kwani zilipotoka 0-0 Chama hakuwemo
  15. E

    JamiiForums Tanzania Yanga chazeni na Simba siku ya wananchi tutawapangia kikosi rafiki

    Kwani Simba walichukua point ngapi kwa Yanga mwaka huu? Simba si waliambulia point moja, Yanga akachukua 4? Au nimekosea? Kama Yanga alichukuacpoint 4 na Simba 1 tu, sasa mtoa post anatumia kiungo gani kufikiri?
Back
Top Bottom