Recent content by Elias MAIGEH

  1. E

    Spika Ndugai: Jimbo la Hai limepata Mbunge, aliyekuwepo kabla alikuwa anazurura, haulizi maswali Bungeni

    Sawa. Sasa jimbo la hai limepata mbuge anayeuliza maswali, na kuwasemea wanaichi wa jimbo hilo. Swali langu kwa mh. Spika Ndugai ni hili; "Je, ni nani anayeuliza maswali, na kuwasemea wananchi wa jimbo la spika ndugai?'
  2. E

    Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

    .... MAMLAKA zichukue hatua stahiki... UMESENA NI MAGAZETI YA NCHI JIRANI, SASA MIMI NAKUULIZA:- 1. JE, NI MAMLAKA GANI UNADHANI INAHUSIKA? JE, NI MAMLAKA YA NCHI YETU, AU MAMLAKA YA NCHI AMBAYO NDIMO HILO GAZETI LINACHAPISHWA? 2. NA JE, NI HATUA ZIPI HASA AMBAZO MAMLAKA HIYO YAWEZA KUZICHUKUA?
  3. E

    A political watchdog: Humphrey Polepole mzalendo anakayekwenda kusimamia uwajibikaji ndani ya Bunge na kuripoti kwa Rais

    NAKUBALIANA NAWEWE KABISA, KUWA POLEPOLE AMETEULIWA KWA MAKUSUDI KABISA AKAWE "WATCHDOG". NI HIVI, KUNA AJENDA MAALUMU AMBAYO YEYE AMEPELEKWA AKAIFANYIE KAZI (REJEA KAZI YA YOHANA MBATIZAJI KATIKA BIBLIA), NA KUTOA TAARIFA KWA ALIYEMTEUA, JUU YA WALE WATAKAOONYESHA KUTOUNGA MKONO AJENDA HIYO...
  4. E

    Tume ya Uchaguzi ifafanue kuhusu Uteuzi Viti Maalum CHADEMA

    NDUGU YANGU NEWSINKP, UWE NA HAKIKA KUWA HUO UAFAFANUZI UNAOTAKA TOKA KWA KILE KINACHOITWA "TUME HURU YA UCHAGUZI" HAUTATOLEWA KWA SABABU ZA WAZI KABISA. WAO NI SEHEMU YA HUO MCHEZO WOTE POLE
  5. E

    Pendekezo Chanya: Rais Magufuli aanzishe Mfuko wa Ujenzi Mpya na Maendeleo wa Taifa (MUMT)

    NIANZE KWA KUKIRI KUWA UKIAMBIWA "USHAURI WA KIZALENDO" BASI USHAURI HUU NI MIONGONI MWA MAWAZO YA KIZALENDO KWELIKWELI!!!. KWA MSINGI HUO NINAKUBALIANA NA MZEE MWANAKIJIJI, KWA ASILIMIA MIAM MOJA. NAAMINI MH. RAISI, AU WASHAURI WAKE, WAMEKUSOMA, NA WATAUTENDELA KAZI
  6. E

    TUJADILI: Kwanini kila kinachosemwa dhidi ya Rais Magufuli na Serikali zigo hubebeshwa upinzani hususani CHADEMA?

    :D:DAISEE!! A WELL PRESENTED ARGUMENT IN DEED, TOKA KWA MZEE "KITATURU" BIN HENDAMIRI WA MUPONOELO"
  7. E

    Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

    ... Nakumbuka Tukio moja (siwezi kulitaja) nilikuja kushtuka mission accomplished muda mrefu kumbe yule jamaa alikuwa TISS na akapotea kama jini.... ACHA NIWE MTABIRI WA TUKIO HILO, NALO NI "TUKIO LA AJALI YA KUCHONGWA ILIYOTOKEA HUKO MOROGORO (1984), NA KUSABABISHA KIFO CHA KIGOGO MMOJA...
  8. E

    Ya Kubenea na Komu yawaangukia Makamba na Ngeleja

    ... Lakini waliojitokeza kuomba msamaha ni wawili tu ambao ni Makamba na Ngeleja ,swali linakuja hao ambao hawajaomba msamaha hatima yao itakuwaje? AIJUAYE HATIMA YA HAO AMBAO HAWAJAOMBA MSAMAHA NI MUUMBA WAO TUU, YAANI MWENYEZI MUNGU PEKE YAKEEE!! KAMA UNA UWEZO KAMUULIZE MUNGU
  9. E

    Mkulima kashindwa, Lissu na Chadema wameshindwa Tanzania inashinda

    THIS IS RUBBISH INDEED!!! KUNA UHUSIANO GANI KATI YA MKULIMA NA TUNDU LISSU?, TENA TUNDU LISSU KASHINDWA KITU GANI?, AMESHINDWA NINI?? KAMA HUNA CHA KUANDIKA "NI BUSARA UKAE KIMYA TUUU"
  10. E

    Waziri Lukuvi badala ya kuwatishia Watanzania wa hali chini kichumi wawezeshe, si kila aliyepewa kiwanja ni fisadi au ana kipato kama wewe

    UMENENA SAHIHI KABISA. NAAMINI MH. LUKUVI ATAUSOMA NA KUUTENDEA KAZI UJUMBE HUU MURUA, IKIZINGATIWA WAMEKUWA WAKIJINASIBU KUWA HII NI "SERIKALI SIKIVU".
Back
Top Bottom