Recent content by Elias Kamugisha

  1. E

    JamiiForums Tanzania Vacancies: Personal Secretary II, Assistant Accountant II & Accounts Technician II at TBS

    How to aplly for these jobs. provide a link plz.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mnyika na Udhaifu wa Rais Kikwete: Mjadala wa Nadharia Tete

    Mwenye hoja katoa hoja yake ili watakaoona ni nzuri wamsupport kwa kuongeza mambo ambayo hajayaweka na wasioafiki wampinge kwa hoja kwa kukanusha hiyo hoja. mimi sioni haja ya kutukana matusi kwa sababu nchi yetu hatuwezi kuijenga kwa msingi wa kutukanana tunapoambiwa ukweli au kuzushiwa jambo...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa turns 70: Bado ni "think tank" wa CHADEMA?

    Ongelea mada iliyotajwa mambo ya kuongeza mke sio mada ya msingi
  4. E

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanganyika ni dhaifu wanapokutana na wale wa Zanzibar

    Huu ni ukweli ambao uniuma usiku na mchana na huwa najiuliza kwa zanzibar wanajamini katika suala la muungano na sio viongozi wa tanganyika hata katka masuala ya uwakilishi inaonekana wazi wazanzibar wanapendelewa mfano katika rasmi ya katiba inayotarajiwa kujadiliwa kwenye majimbo ya uchaguzi...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Chopa za CHADEMA zina husiana vipi na uvunjifu wa amani,RPC-Iringa?

    Helkopta ni usafiri kama yalivyo magari na pikipiki tofauti ni speed na kurahisisha usafiri tu, binafsi sioni sababu ya kuwazuia chadema kutumia chopa yao. Mimi nashangaa polisi huwa wanakuwa makini sana kusimamia sehemu ambapo kuna maslahi ya ccm tu, mfano mikutano ya ccm hulindwa kwa ustadi...
Back
Top Bottom