Recent content by Eliamini

  1. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Najua watu wataniona mjinga ila Lamine Yamal is talented than Lionel Messi

    Nenda kamuangaloe messi akiwa anavaa Jersey no. 19 mgongoni kwanza akiwa na nywele ndefu kichwani kisha ndo urudi kuandika upya wewe unamuongelea Messi uliyekuja kumuona anacheza mpira akiwa ma miaka 30
  2. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Mussa Balla Conte is Green & Yellow

  3. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Nani kafanikiwa kuomba usajili au namba ya NHIF kupitia mfumo wao mpya wa NHIF Self Service?

    Kabla ya kufanya maombi ya NHIF lazima ufanye verification ya cheti/vyeti ambavyo vinatolewa na Rita na gharama yake ni Tsh 6,000. Hata kama cheti kimetoka leo lazima ukifanyie verification na pale kwenye system kuna sehemu pakuonesha cheti kinaenda kutumika taasisi gani so utachagua NHIF...
  4. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Jonathan Sowah Ndiye Mshambuliaji Hatari Zaidi NBC

    Hao kina Dube,Mnzinze na Ahoua walikutana na mabeki gani kufunga hizo goli walizonazonkwenye NBC. Ushabiki wa Simba na Yanga hauna tofauti na Mental Disorder aisee
  5. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Nuru imeingia kwenye mpira wa nchi hii, ushirikina lazima ufe

    Waza pia wakashindwa kufuzu itakuaje
  6. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Serikali yawaita mezani TFF, TPLB, Yanga na Simba kutafuta suluhu ya Dabi

    Uwezo wanao sana kumbuka FIFA hairuhusu serikali kuingilia mamlaka ya mpira
  7. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia yanayoendelea sakata la Match ya Derby kuahirishwa

    Kuokoa mpira wetu ni kufuata kanuni za mpira zilizowekwa na mamlaka za mpira na kuacha ujinga unaoitwa Busara, Bahati mbaya sana Maamlaka za mpira zimekua butu kwenye ishu ya Simba na Yanga. Hapakua na kanuni inayoamrisha kughairisha Derby ya tar 8 kisa timu mwenyeji kazuiliwa kufanya mazoezi
  8. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Waislamu nijibuni maswali haya kuhusu Iftari

    Ok ngoja nikujibu kama ifuatavyo: Lengo la kufuturisha ni kuwawezesha wale wote wasiokua na uwezo wa kupata futari pindi muda wa kufungulia unapofika hili ndo lengo kuu la Dini. Lakini haya unayoyaona yanayoendelea ni utashi wa binadamu wa kupewa akili ya kuchagua jambo gani afanye na jambo gani...
  9. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Huyu Jemedari Said ndio maana Yanga hawampendi, amenyooka sana

    Hata Arajiga Simba hawampendi uwanjani amenyooka sana
  10. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Range Rover liheshimiwe

    Chagua gari
  11. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa utopolo wanajitahidi sana kumsagia kunguni Elie Mpanzu ili waokote dodo

    Sawa ni kweli walisema hivyo turudi kwenye uhakisia kati ya hao wote ni nani amewahi kua chagua la kwanza kwenye kikosi Cha kwanza Cha Gonga wazi. Kusema hawaingii kikosi Cha kwanza ni ishu nyingine na jusajiliwa pia ni ishu nyingine
  12. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Mzize kuvunja record ya usajili Kwa wachezaji wa kitanzania

    Micky Jr kapost hii habari ya Mzize kutakiwa na club ya Libya kwa hela nyingi
  13. Eliamini

    JamiiForums Tanzania Ili Yanga Game ya Mwisho Ashinde Goli 3 Na Mc Alger

    Endelea kuota shida kubwa tunaongozwa na hisia za ushabiki wa Simba na Yanga tunasahau kuupa heshima mpira yaani mechi haijachezwa ila tayari tuna matokeo🤣
Back
Top Bottom