Hao watu wanakuwa na makucha marefu hawez kuingiza vidole kule kwenye ile kitu kujisafisha kwa hyo uchafu unasababisha harufu na waona hayo makucha ndo urembo hawajui urembo ni pamoja na usafi na mwanamke lazima uwe msafi sana ndo unakuwa mwanamke unless otherwise wewe ni mbuzi kama mbuzi wengine
Unapompenda mtu nae akakupenda theoretically inakuwa kama kuna part fulani ambayo haikuwepo kwenye moyo wako inaongezeka na kujimount then inakuwa kitu kimoja na moyo wako sasa unapoachana na mtu ile part inajiunmount kutoka kwenye moyo wako hapo ndo maumivu makubwa unayafeel ni kama pale...
Mkuu mimi sifikiriagi kurudi nyuma na najua nikimtaka tena hawez kuruka lakini usipende kurudiana na mwanamke ambae amekusaliti hakuna mtu m'baya kwenye maisha kama mtu mwenye chembechembe za usaliti hiyo tabia haina dawa,sasa hebu fikiria kwa akili tu za kawaida picha linaanza alimsaliti jamaa...
Mimi kisa changu ni rahisi...kipo hivi.
Kabla ya kukutana na Trina nilikuwa na tabia mbaya ya kuwatenda wanawake na nilikuwa sijari ata wakilia na sometimes ata kutishia kujiua nlikuwa siwasikilizi wala kuwaonea huruma.
Nilianza mapenz na Trina mwaka jana mwez wa 3 na nilijikuta ghafla nimeanza...
Jaman mbona mnatutisha sasa na hao wachaga wa machame na mimi hao ndo kama nliletewa na nyumban nshapewa onyo na bimdashi nisimletee mke mchaga unless otherwise nitafuta mama mwingine.
Bonge la mtihani wakuu niwekeni wazi hawa watu walivyo na vitabia vyao ili ikiwezekana nichange gear hewani...
Hawawez kuja labda ungewaambia mkale bata tu na kupiga umbea ungejaza hata treni la magirl wakutoka nao lakini kwenye kubadilishana mawazo ya ujasiriamali huwapati ng'oooo
Kwel we kamanda nikajua huwa unasahau zana muhimu kama hiyo unapoenda vitani kumbe huwa unakumbuka afu watu hawajui maji barid yanaongeza nguvu unaweza kuua mtoto wa watu kwa mautamu unayompa na dozi nene
Siwasifu naelezea na usikalili kulea ni jukumu la mama peke yake bali ni jukumu la baba na mama.
Anyway jitahidi kudebate kutokana na thread using'ang'anie vitu ambavyo vipo out of thread.
Mchana mwema...
Elewa alichokiongea mtoa maada na nilichocomment.
Ni kwamba sio kila single mom ana shida na kung'ang'ania kuolewa kama yeye alivyoeleza kwa thread yake wanakijua wanachokifanya na wengi wao kitu wanachokiangalia zaidi ni kulea watoto wao mambo mengine yanakuwa ni kama ziada tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.