Recent content by Elia Benjamin

  1. Elia Benjamin

    Nina swali kuhusu Elimu ya Secondari ya miaka miwili, nisaidieni majibu

    Asante, Mwanza sehemu gani inapatikana, na inaitwaje shule yenyewe?
  2. Elia Benjamin

    Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

    Mwl Alex Kashasha ndie mchambuzi bora wa soka kwaupande wangu.
  3. Elia Benjamin

    Simu ya tecno inawaka na kuzima yenyewe nikiingia facebook

    Nimependa sana maelezo yako namimi pia nimuhanga ktk hilo.
  4. Elia Benjamin

    Ni Jambo gani la ujasiri sana uliwahi kufanya mpaka leo ukikumbuka unafurahia na kujiona mwamba...

    Niliweka maisha yangu rehani nikajiingiza ktk moto ilihali nilijua yawezakua nikaungua ktk tukio hilo kufa au kupona ndio nilichagua, ktk kuhakikisha namsaidia rafkiangu kipenzi ili nirejeshe furaha yake nashukuru nilitoka salama japo hatukufanikiwa kila nikikumbuka hua najishangaa mwenyewe.
Back
Top Bottom