Kuna watu wanapenda Sana kwenda na tafsiri za Maisha na wengine wanasemaga wenzao hawawezi kuwa viongozi... Kwa wale Wenye KAZI ya malaika na shetani labda watapambana usipate hata uongozi wa familia maana wanasema ni mbinu za kupatia uongozi...
Kudos Kwa kuamua kuwa kiongozi wa familia hakika...
Moja ya Mbinu za kivita zinazotumika nchini ni Under Capeti hakunaga Agenda au Interest za kitaifa. Mradi wa Mwendokasi ulivyokuja watu walishangilia na Wamiliki wa magari ya daladala wakaingia kwenye msoto fedha kupungua na kujiona hawajui.
Mashindano yakaanza hata yamilikiwe na nani taifa...
Ujinga Gani sijui nzuri kwenye jamii:
Nimefanya mapenzi nimechoka ikawa ujinga au Malaya
Nimejenga nyumba ikawa ujinga
Nikaoa ikawa ujinga maana Mwanamke alikuwa anawaza vitu ambavyo sina
Nimesoma Elimu siitumii ikawa ujinga
Nimekunywa bia ikawa ujinga
Nimesafiri kila mkoa ikawa ujinga...
KAZI ilifia Kwa muuza supu rangi nyeupe IPO kwenye hii music labda ulipambana kujua rangi duniani
Uhuru kashinda duniani na Mwanya wake yawezekana ndio huyo demu na Watu weupe wanapiga marimba wapo duniani Bora Tanzania wanaume walikuwa na tatizo la rangi hatutatimia nguvu kuelewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.