Taarifa muko kundi mnaotumika kibiashara kuandika taarifa za kuchafua.mimi nilifwatwa niandike nilikataa ndio maana mnaandika mnalipwa niliahidiwa laki 5 kama ntakuwa naandika kuchafua nikamwogopa mungu.
PhD ziko 3 moja wapo ya heshima .
Wenye PhD za kuandika na tafiti ukifwatilia asilimia 50% feki za kusaidiwa kuandikiwa au kupasishwa leo wakiambiwa wafanye tena mitihani na kuandika tena tafiti ni 0%.
Kwa hiyo waliopata ya heshima wamepata kinachowauma nini ?
Hiyo ni PhD ya heshima kwa jambo ulofanya kwa aina nyingi kwa vitendo . Nadhani mkisikiliza waziri amefafanua PhD ziko Aina 3 .
Sasa hii ya Heshima sio ya kuombea ajira wala sio inakupa maslahi yeyote ni kutambua mchango wako katika mambo mbali mbali ipo ya kijamii zaidi. Sasa kipi...
Si halali kwako kwa wanaotambua mchango wake ndio kapewa sasa nyamaza uangalie familia yako .kwani hicho cheti kitamfanya ashibe. Always lazy minds discuss people . Wewe kapata hakupata inakupa shida gani .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.