Recent content by Eleine

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaotafuta wachumba humu ni balaa...!!

    Pole dada kwa yaliyokukuta.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Asante sana kwa ushauri wako.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Ni wewe ndio unasema hivi? Mbona mwanzo ulinishauri vema? Thanks anyway.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Nashukuru sana kwa ushauri wako.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Kwa ushauri niliopata humu MMU, siwezi kunywa sumu ya panya. Nimepata nguvu ya kusonga mbele.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Asante. Nishauri tu.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Asante sana MwaJ.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Miaka 35 bado ni mtoto kweli?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Asante dear.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Ni kweli inauma sana. Ukizingatia niliwakataa wanaume wengi sana nikiamini yeye ndio wangu wa kufa na kuzikana. Nimemwachia Mungu.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Nashukuru sana kwa ushauri wako.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Ukisoma vizuri muda gani nilipost hiyo thread, utaelewa ni kwa nini nilisema usingizi hauji.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Ni kweli kabisa.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Ni kweli, hatukuwahi kulizungumza kwa mapana maana yeye mwanaume alionyesha kwake halikuwa ni tatizo kabisa. Leo baada ya kupata hiyo meseji kazi ofisini hazikufanyika kabisa. Sikuwahi kupata maumivu makali kama niliyoyapata leo.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa.

    Umenichekesha na hizo kilo za kiroba cha unga. Asante, nitaufanyia kazi ushauri wako.
Back
Top Bottom