Recent content by Electronica

  1. Electronica

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku-highlight maneno yawe na rangi tofauti na nyeusi

    kijani njano kahawia orange
  2. Electronica

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku-highlight maneno yawe na rangi tofauti na nyeusi

    Najaribu kuandika bluu
  3. Electronica

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku-highlight maneno yawe na rangi tofauti na nyeusi

    Najaribu kuandika bluu[color]
  4. Electronica

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Na vipi kuhusu [ital]italics[ital]
  5. Electronica

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Acha nijaribu
  6. Electronica

    JamiiForums Tanzania Tusindanganyike na English Medium, tunabaki nyuma kwenye Mabadiliko ya Dunia

    Ndio amesoma English Medium huyu, huku akisifia faida mojawapo ni kujua Kiingereza[emoji1787][emoji1787]
  7. Electronica

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Dkt. Tulia: Udaktari wa Musukuma siyo wa Kisomo, ni wa Heshima tu

    Tuwaorodheshe na wengine wenye udaktari usio wa kusomea: ninaanza na Dkt. ANGELINE MABULA.
  8. Electronica

    JamiiForums Tanzania Maneno mazito: Mimi Mbowe nimebarikiwa hivi nilivyo sihitaji baraka ya cheo wala fedha, Siasa kwangu ni WITO wa kuihudumia jamii

    Angesajili kiungo mgombeaji kwa gharama kubwa vile!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Electronica

    JamiiForums Tanzania Mbowe hajatoa chozi kwenye mateso, katoa chozi nyumba ya Mungu

    Mungu hana muda na CHADEMA na hajawahi hata kuwafikiria.
  10. Electronica

    JamiiForums Tanzania Mbowe hajatoa chozi kwenye mateso, katoa chozi nyumba ya Mungu

    Mwamba anaufyata? Mbona hatusikii tena #KatibaMpya? Akae kwa kutulia kazi iendelee.
  11. Electronica

    JamiiForums Tanzania Mbowe hajatoa chozi kwenye mateso, katoa chozi nyumba ya Mungu

    Eti hajachuchumaa... Nani alikuwa naye kila hatua ya maswahibu yake? Usikute anaweza kuwa alisujudu kabisa kwa binadamu mwenzake wakiwa wawili, pasipo na kamera za ushahidi. Narudia: cha kushukuru ni kwamba Mbowe yupo huru, hizo nyingine ni sifa za kijinga.
  12. Electronica

    JamiiForums Tanzania Mbowe hajatoa chozi kwenye mateso, katoa chozi nyumba ya Mungu

    Nonsense! Kutoa kwake chozi sio sababu ya mahali alipo (gerezani au kanisani), la hasha! Isipokuwa ni sababu ya kishukuru na kutoamini (disbelief) kuwa ameachiwa. Pengine kwa hesabu zake na ukweli wa nafsi yake kuhusu shutuma alizonazo alijua hatatoboa. Ni hivi: Huyo Mbowe angetolewa gerezani...
  13. Electronica

    JamiiForums Tanzania RC Robert Gabriel awachana wanawake wa Mwanza! Awataka wajifunze kuoga na kupulizia manukato

    Toka JF nenda ukalime huko, utatoka kwenye umasikini.
  14. Electronica

    JamiiForums Tanzania Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Je na wewe usipoyakuta, utaujutia kiasi gani muda wako uliopoteza?
Back
Top Bottom