Amani iwe nanyi, nimetafakari kwa kina mwendokasi wa serikali ya awamu ya tano na kugundua sarakasi za kutisha. Mosi serikali hii haijatambua kipaumbele chake na wananchi kwa ujumla, yaani hakuna dira tunaelekea wapi zaidi ya kufanya mambo kwa kujihami na kutisha wananchi wake.
Sijaona wezi...
wasalaam, Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni muungano wa nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar. Nchi hizi ziliungana mwaka 1964 na tangu siku hiyo mpaka leo hii nchi hii imekuwa chini ya uongozi wa chama cha mapinduzi(CCM).
Tangu tupate uhuru Tanzania imeongozwa na marais watano kwa maana...
Ndugu zangu amani amani iwe nanyi, nimefatilia kauli za viongoz wetu wa kitaifa wa serekali ya kwamba tufunge mikanda tupo vitani. vita inayoongelewa hapa ni vita vya uchumi na mafisadi. Nimekata tamaa maana si kweli kwamba viongozi wetu wana hali ngumu kimaisha kama tulionayo wakulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.