Wale wadau wa nyimbo za injili (Gospel music) tembeleeni << Injili - Music - Hulkshare >> for free downloads. Tracks zitakua zikiongezwa kila siku na ni za kibongo tu, so keep visiting! :violin:
Mkuu Demarco shukrani for your contribution. So far I am not an electrical engineer, bado mwanafunzi, thats why nkaja na iyo idea. Nna basics za baadhi ya vitu ulvovtaja, sensors, transducers, ICs, RF, etc and am working to know more. Ila my question ni vipi hao wanaodesgn kwa kutumia few and...
Wakuu habari,
Nngependa tujuzane hii kitu kwa undani zaidi, hasa wale wadau wa umeme na wireless sensors kwa ujumla. Nmekua inspired na vjana watundu haswa wa mitaani tu wanaobuni simple mechanisms zinazowezesha kucontrol taa pamoja na baadhi ya vifaa vya umeme wirelessly using mobile phones or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.