Kweli mkuu, kulikuwa na michezo ya mabweni, kulikuwa na mashairi, ngonjera, kwaya, ngoma nk, hii michezo ilisaidia sana kuibua vipaji mbalimbali na naamini wengine ndio imekuwa career zao kwenye maisha.
Haswa, mwalimu sango alikuwaga naweka nywele zake way, anajipenda vibaya sana. Enzi hizo tunalima ulezi, kulikuwepo pia mwalimu ringo ( mwalimu wa siasa) alikuwaga sijui mjumbe wa nec ccm
Something is wrong, 1. Clouds wamhoji shoga 2. Mkuu wa mkoa dsm apiga marufuku mashoga 3. Serikali yapiga marufuku uuingizaji nchini wa mafuta ya mashoga 4. Picha za bibi harusi aliyekuwa akifanyiwa mchezo mchafu zatumwa kwa bwana harusi. Je kwanini yote haya ndani ya muda mfupi? Kuna campaign...
tatizo kubwa la mourinyo ni kutafuta watu wa kutupia lawama timu inapofanya vibaya matokeo yake akifungwa mechi kadhaa tayari anakuwa ashatengeneza maadui kadhaa kwenye timu anasahau kuwa no matter timu imeshinda au kushindwa lazima siku zote timu isimame pamoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.