Muache kuwafanya watu kama wapumbavu kama kuna fedha mnalipwa mtushirikishe. Ni kweli serikali kuna sehemu inakosea ila tangu internet imerudi sijaona washenzi kati yenu wanakemea vitendo vya wizi na uharibifu kwa raia wa kawaida zaidi ya kuendeleza upuuzi wenu na ajenda zenu za kipuuzi na...
Ndugu, hilo swala la ku"submit" nalijua na ninafanya kila mara na afisa utumishi ameona yeye mwenyewe kuwa tatizo halipo kwangu. Najua na naelewa ninachokisema.
Huu mfumo umenizuia nikose mshahara mwezi wa tatu na sababu unazopewa jaza subtasks sasa sijui ni mtu gani asiyejitambua kwa mwezi wa tatu awe hajajaza hizo vitu zao kama wanavyotaka.
Kuna muda inabidi utafakari sana mambo ya hii nchi inaweza isiwe shida mfumo bali wanaosimamia mfumo. Huu ni mwezi wa tatu sasa watu hatupokei mshahara na tunajaza majukumu yetu kama utaratibu unavyotaka ila ukienda kwa afisa utumishi anakwambia upandishe majukumu ndio mishahara...
Nafahamu hilo la katibu tawala wilaya kama mfungisha ndoa ila nataka kujua upande wa mwanamke je ni vibali gani anatakiwa awe navyo kabla ya kufunga ukiachana na vibali vya kuishi nchini(ambavyo anavyo).
Habari wanajamii, kuna rafiki yangu (raia wa Tanzania anataka kufunga ndoa na mpenzi wake ni raia wa Marekani anayeishi nchini kwa kufuata taratibu zote . Hivyo nahitaji kufahamu ni taratibu zipi afuate ili aweze kufunga naye ndoa ya kiserikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.