Msaada: Mwili kuwasha/kuchomachoma ukipata joto

Tall Guy fam

JF-Expert Member
Jan 16, 2017
917
1,089
Habari zenu wakuu
Katika maisha yangu kwa asilimia kubwa nimeishi/kusoma/kazi kwenye sehemu zenye baridi. Changamoto kubwa ninayoipata ni mwili mzima kutoka kichwani mpaka miguuni kuwasha na/au kuchomachoma kwa sekunde kadhaa au dakika kipindi ninapokaa kwenye sehemu zenye joto. Hali hii inaweza tokea mara kadhaa kwa siku.

Mwanzoni ilikua nikikaa sehemu zenye joto tu lakini hivi karibuni, kama week ya pili sasa imekua hadi nikifanya shughuli yoyote itakayonipa joto mfano kazi nzito, mazoezi, au hata kupasi nguo. Na tofauti ya sasa na zamani ni kwamba hii ya sasa mwili unachomachoma haswa mpaka inabidi niache shughuli niingie sehemu private nijikune mwili, nijipepee au kama nipo nyumbani nijimwagie maji baridi, mwili ukipoa inaacha.

Mwanzoni nilikua najua labda ni products ninazotumia (Perfume, Body spray, lotion) kwahiyo nikaacha kila kitu, ikawa ni kuoga na kuvaa Imepita wiki sasa ila hali bado inaendelea.

Sijui ni nini kinasababisha na kama ni ugonjwa au allergy ila kweli ninateseka, mtu yoyote ambae amewahi kupata hii hali ananielewa. Kwa bahati mbaya sehemu nilipo kwa sasa sina access ya hospitali (mpaka wiki ijayo) hivyo nimelileta hili kwenu nikiamini ninaweza pata msaada wowote utokaoniwezesha kudhiti hii hali katika kipindi hiki.

Natanguliza shukrani.
 
mtafute MziziMkavu . ukimkosa nenda katafute daktari wa ngozi

kaoge baharini ujisuguge na ule mchanga utakuwa poa,pia inawezekana matundu ya kutolea uchafu(jasho) yameziba,jitahidi kukimbia utoe jasho ukiwa umevaa mavazi yenye materials za mpira ya kubana,baada ya wiki lete mrejesho
 
Asante sana.
 
Ushapata
Habari zenu wakuu
Katika maisha yangu kwa asilimia kubwa nimeishi/kusoma/kazi kwenye sehemu zenye baridi. Changamoto kubwa ninayoipata ni mwili mzima kutoka kichwani mpaka miguuni kuwasha na/au kuchomachoma kwa sekunde kadhaa au dakika kipindi ninapokaa kwenye sehemu zenye joto. Hali hii inaweza tokea mara kadhaa kwa siku.

Mwanzoni ilikua nikikaa sehemu zenye joto tu lakini hivi karibuni, kama week ya pili sasa imekua hadi nikifanya shughuli yoyote itakayonipa joto mfano kazi nzito, mazoezi, au hata kupasi nguo. Na tofauti ya sasa na zamani ni kwamba hii ya sasa mwili unachomachoma haswa mpaka inabidi niache shughuli niingie sehemu private nijikune mwili, nijipepee au kama nipo nyumbani nijimwagie maji baridi, mwili ukipoa inaacha.

Mwanzoni nilikua najua labda ni products ninazotumia (Perfume, Body spray, lotion) kwahiyo nikaacha kila kitu, ikawa ni kuoga na kuvaa Imepita wiki sasa ila hali bado inaendelea.

Sijui ni nini kinasababisha na kama ni ugonjwa au allergy ila kweli ninateseka, mtu yoyote ambae amewahi kupata hii hali ananielewa. Kwa bahati mbaya sehemu nilipo kwa sasa sina access ya hospitali (mpaka wiki ijayo) hivyo nimelileta hili kwenu nikiamini ninaweza pata msaada wowote utokaoniwezesha kudhiti hii hali katika kipindi hiki.

Natanguliza shukrani.
Ushapata tiba kaka? Au bado pole sana
 
huu ni ugonjwa unaitwa chawa hasa hutokana na kulogwa sio tatizo linalotibika hospitali. kuwa makini na jamii inayokuzunguka. njoo dm kupata dawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom