Ndugu ,Watanzania baada ya shughuli nyingi za kisiasa ni muda muafaka sasa kwa sisi kwa umoja wetu kurudi na kuendelea kufanya kazi ili kuimarisha uchumi wetu.
Uchumi wetu kwa maana ya MTU mmoja mmoja na kaya kwa ujula wake . Uchumi imara utatupa nguvu ya kimaamuzi na maendeleo ya kisiasa na...
* MWASISI WA TANU/CCM, MZEE KIGUNGE ATEMA CHECHE
* AJIVUA UANACHAMA WA CCM
* ASEMA CCM IMEBINAFSISHWA
Anasema kamati kuu haiwezi kusema watu watano au sita ni hawa bila kuwasikiliza, kilichotokea mwaka huu ni tofauti kabisa kilichotokea mwaka 1995, safari mwenyekiti ni Jakaya Kikwete...
Baada ya lowasa kuondoka hali ni Mbaya sana kila uchao wanachama wanaondoka.
Jana tu taarifa za habari zinaonyesha mahesabu ya wanachama zaidi ya 1200 hizi ni kura zinapungua.
Na kuna taarifa kwamba wapo baadhi ya vigogo wengine wataendelea kuhama hii inaonyesha nyakati za Maamuzi Magumu...
Nipo kwa Chakito asubuhi hii toka A town natua bongo natoa wito kwa wahusika kukubaliana mapema kupunguza usumbufu kwa abiria
Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania
Hizo ni siasa uchwara za kumchafua Mh.Lowasa ila nakuhakikishia wapinzani wa Mzee hawalali wanajua ana nguvu ,anakubalika ana maamuzi magumu.
Ukombozi wa pili unahitajika hakuna kusita simama uhesabiwe.
Kama kweli tunahitaji Rais basi ni mwenye ujasiri wa kusimama na kuutetea Urais anaoutaka mapema tu. Hatuwezi kuhitaji Rais ambae yeye mwenyewe anauogopa huo Urais ndio maana ukiangalia utakuta kwamba bado tunahitaji mtu mwenye maamuzi magumu asiye legelege, mwenye kusimamia jambo mpaka mwisho...
Mbinu za namna hii sio nzuri ukizingatia kwamba mnataka ushindi kwenye kinyang'anyiro kikubwa ni kifanya maamuzi ya haraka ili waliofungiwa wajue hatma yao democrasia bado ni kitu muhimu kwenye chama.
Huwezi kimfunga mtu halafu wakati wa kumwachia ukazungumzia kuchunguza kifungo ulichompa hapo...
Hapo umenena ni kweli taifa linamuhitaji kiongozi shupavu mwenye uthubutu na sifa kama zifuatazo TAFITI ZAONYESHA WAZIWAZI SABABU 5 ZA LOWASSA KUWA RAIS WA AWAMU YA 5
MUHIMU SANA
Wakati joto la Urais likizidi kupanda ndani ya CCM,Nyota ya mmoja wa wanaotajwa kugombea Edward Ngoyai Lowassa...
Ni kweli pale kuna eneo toka huku mwika madukani ukifika kirimeni shuka mpaka huko mahida, mteri huko maji ni ya shida sana ila kuna miundombinu ya siku nyingi tu sema uvivu wa viongozi wameshindwa kufuatilia ili maji yatoke.
Pale pia kuna diwani wa eneo hilo Sijui wanafanya nn hawa watu Ni...
Mh.lowasa anazungumzia Elimu,elimu, elimu hapa ni kwamba lazima udeal na waalimu maana wao ndio key player kwenye hilo na si vinginevyo. Na wala hajawahi Lowasa kuwabeza waalimu hata siku moja na anawaheshimu na kuwapenda sana
Hao waalimu wamechagua fungu jema maana ktk wote wanaotaka kiti yy ndio haswa mwenye sifa za msingi na ikumbukwe kwamba waalimu ni kundi maalum ktk jamii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.