Recent content by eksielo

  1. eksielo

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    wewe ni mjinga saana au ulitumbuliwa, huwezi ukamsema vibaya hivo magufuli. magufuli alitenda haki, tunamlilia hadi leo wewe mwenyewe unaona ametutoka mwamba mambo yameharibika kishenzi maisha ni magumu kwa watu afu wewe unaongea ushenzi gani huo
  2. eksielo

    Chimbuko la binadamu

    [emoji3][emoji3]sawa me boya okay, kati ya yesu na history ipi sasa inayozungumzia kweli? Sent from my MobiGo2 using JamiiForums mobile app
  3. eksielo

    Chimbuko la binadamu

    Historia inasema kuwa binadamu wa kwanza alianza kuonekana hapa Tanzania huko Arusha laitoria na kuna nyayo ambazo utafiti unaonesha ni miaka milioni 4 sasa tangu kuwepo kwa binadamu. Lakini kalenda tuliyonayo kwasasa hesabu yake inasema ni miaka 2000, sasa je hii inakaaje?
  4. eksielo

    Ni mbaya kusifia viongozi wa nchi ikiwa kuna wanaolala njaa

    chawa hawezi kuzungumza hili na pia wewe mwamba ulikuwa humkubali
  5. eksielo

    Ni mbaya kusifia viongozi wa nchi ikiwa kuna wanaolala njaa

    nafikiri wewe ni mmoja wapo ya wale watu elfu kumi na mbili waliotumbuliwa na magufuli anapendwa na watu walio na akili timamu
  6. eksielo

    Ni mbaya kusifia viongozi wa nchi ikiwa kuna wanaolala njaa

    bashiru ameamua kuwaasa watanzania kuacha hiyo tabia lakini hata hivyo ni heri basi tuwasifu kwa kuuona ukweli wao na utendaji kazi wao kwa wananchi lakini sasa viongozi hawa wamekuwa wa kununua magari tu kufanya anasa nchi za nje na kula na kunywa akirudi nchini tunampokea kwa shangwe na sifa...
  7. eksielo

    Ni mbaya kusifia viongozi wa nchi ikiwa kuna wanaolala njaa

    sawa, lakini tambua kuwa kiongozi wako wa nchi ndo atakaye kufanya wewe ushibe au usishibe
  8. eksielo

    Ni mbaya kusifia viongozi wa nchi ikiwa kuna wanaolala njaa

    sawa, lakini utambue kuwa asilimia kubwa ya watanzania ni masikin
  9. eksielo

    Ni mbaya kusifia viongozi wa nchi ikiwa kuna wanaolala njaa

    me nadhani huyo unaemdhania, yule ndo alistahili kutokana na utendaji wake wa kazi
  10. eksielo

    Ni mbaya kusifia viongozi wa nchi ikiwa kuna wanaolala njaa

    Watanzania wengi hasa masikini wamekuwa watu woga sana kumkosoa tajiri au viongozi wa nchi pale wanapoonekana kufanya mambo ya ovyo badala yake wanakuwa watu wa kupewa sifa njema tu. Kwakweli mwenendo huu ni mbaya sana matokeo yake nikukuta baadhi ya watanzania wanalala njaa na wengine wanakula...
  11. eksielo

    Je, kutokwa na fluid nyeupe uumeni ni dalili ya ugonjwa wa kaswende?

    sasa nakutokwa fluid nyeupe utakuwa ugonjwa gani?
  12. eksielo

    Naomba ushauri wa biashara ya malori

    Mmh jamani ongea lugha moja b hac
Back
Top Bottom