Recent content by Ekisha

  1. E

    JamiiForums Tanzania Meli ya New Victoria yawasili salama Bukoba baada ya ukarabati mkubwa

    Watu wanafurahia meli yao kukarabatiwa na kuwa kama mpya wewe unaleta uchuro? Kwa nini unatabiri meli kuzama????? Acha kutabiria mabaya nchi yako.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Meli ya New Victoria yawasili salama Bukoba baada ya ukarabati mkubwa

    KATIBA Ukomo wa vipindi vya kuongoza ni suala la Katiba. Katiba ni ya Watanzania; pia inaweza kufanyiwa marekebisho au kubadilishwa kabisa iwapo Watanzania wataamua. Kama Watanzania wakiamua kuongeza muda wa Rais kuongoza Nchi yao nani atawazuia kufanya hivyo?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa CCM wamekataa kumdhamini Jecha Salim Jecha

    VIGEZO JE? Sina uhakika kama Mh. Jecha anatimiza kigezo cha kuwa mwanachama kwa kipindi cha miaka mitano.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Meli ya New Victoria yawasili salama Bukoba baada ya ukarabati mkubwa

    UKWELI UTABAKI UKWELI Atakayetaka kupinga apinge; ukweli ni kwamba JPM anachapa kazi. Ukarabati wa MV Victoria (sasa New MV Victoria Hapa Kazi Tu) ni hatua muhimu sana kwa uchumi wa Nchi yetu, na hasa Kanda ya Ziwa. Kupingana na ukweli huu ni kujifurahisha tu; ukweli utabaki ukweli, JPM...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Serikali ya awamu ya 5 acheni ushamba

    Asante sana!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    CDM IMEKATA TAMAA. Anasema ya Mwanza yamepita kwa kuwa kauli ya CDM kuomba Maridhiano pasipo mgogoro haikuwa na mashiko. Ilikuwa ni "blackmail and sheer distractions"
  7. E

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

    AKIWA MAKINI HATASALIA CDM. Labda asiwe mtu makini; vinginevyo hataweza kundelea kuwa CHADEMA hii inayozama wakati nahodha kag'ang'ania usukani wa jahazi. Muda utaongea.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Exactly. Wanachofanya CDM ni "blackmail and sheer distractions".
  9. E

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    MARIDHIANO KUHUSU NINI? CDM wanataka "MARIDHIANO" kuhusu kitu gani? Mwenyekiti wa CDM aliwahi kutangazia umma wa Watanzania kwamba anayoyahubiri Tundu Lissu katika majukwaa ya kimataifa ndiyo msimamo wa CDM. Mahubiri hayo yanamchafua Rais na hata kuitaka Jumuiya ya Kimataifa kutokuunga mkono...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Cecil Mwambe kuongea na waandishi wa habari 10 Desemba

    AKIWA MAKINI HATASALIA CHADEMA Kwa hali ya CDM ilivyo, na hasa baada ya dalili zote kuashiria kwamba nahodha kag'ang'ania usukani, ni dhahiri CHADEMA ni jahazi linalozama. Hakuna mtu aliye makini atasalia katika jahazi linalozama.
  11. E

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

    KAMA NI KIJANA MAKINI... Pambalu simfahamu. Lakini kama ni kijana makini hatosalia huko CDM. Atahamia CCM muda mwafaka. Muda tutaongea.
  12. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnakosea wapi, mbona mnayumba kimsimamo?

    Uchaguzi wa Mitaa ni jambo la kitaifa. Ndiyo maana niliwashangaa waliogoma kushiriki.
  13. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnakosea wapi, mbona mnayumba kimsimamo?

    NI UTOTO KUTOKUSHIRIKI MASUALA MUHIMU YA KITAIFA. Sherehe za Uhuru ni jambo muhimu la kitaifa. Siyo suala la kichama. Vivyo hivyo shughuli za maendeleo ya Nchi. Unapogomea shughuli muhimu za kitaifa kama hizo unamkomoa nani kama sio utoto?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dar es Salaam yawasili Moshi ikiwa na abiria 294, ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM

    SPOP PROPHECY OF DOOM. Acha kuwa mtabiri wa maafa. Kurejeshwa kwa huruma ya usafiri wa reli ni jambo jema sana. Tumwombe na kumtanguliza Mwenyezi Mungu Aendelee kutupigania ili jambo hili jema lilete nafuu kwa abiria na wasafirishaji mizigo.
  15. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

    RIP Ni habari ya inasikitisha sana. RIP Ali Mufuruki.
Back
Top Bottom