Kwa kila anayesoma ujumbe huu. Huyu Dada mpaka Leo hajapona na bado anahitaji msaada.
1.Waziri wa Afya
2. Viongozi wote nchini
3 Mboni
4.Joyce Kryia
5. Mhimbili Hospital
6. Wasanii
7. Nancy Sumari na wadada wengine wote wenye nafasi mania kwa maelfu
Fatilieni mjue aliko na muamue mnamsaidiaje...
Nimefurahi,kuon orodha hii ya waandishiguri wa zamani. Nick Carter, Agatha Christie, Ian Fleming nk. Hakika. Nionapo sinema za leo uvikumbuka Sana. Kwani ni tafsiri ya vitabu hivyo. Niliwahi kuviona Dar ule mtaa ilipokuwa Wizara ya Ujenzi sijui kama bado ipo hapo na pia ilipo Martin...
Watakaokuunga mkono ni wachache kwani kila mmoja anamwamini Mungu kupitia vitabu hivyo na ndio maana unaona kiasi cha michango kinachojitokeza kwa thread hii!. Kwa wale mnaoamini vitabu hivi nawahasa kumwamini Mungu kama mulivyolelewa, mulivyofunishwa na munavyoamini kwani siku inakuja...
Please don't rush in responding, this is more technical, I once faced the same problem! you don't know what will happen in a few days to come especially on other buildings! The weakness in the substructure formation and other geological factors might still cause more arm to the structural strength
Fresh comment.
1.UKWELI
TBA poleni sana, do you see where the burden goes? inasikitisha hakuna atakayewaelewa katika mazingira haya. Kila msiba una mwenyewe, na huu umegeuka kuwa msiba wenu. Hata hivyo hili si la kwanza kuwa na mshikeli humu jijini yako na ya wengine yaliyofeli. Je sababu...
Kutoa ni moyo, si utajiri hiyo ilikuwa bahati, alikupa tu na hakuwa na shida nyingine sidhani kama utapata bahati kama hiyo tena. Umepewa na fellow black je ingekuwa m-white ungesemaje. Wenzio wanaandika barua kuomba misaada we unapata bure unakejeli? Kumbuka hao wamekulia maeneo hayo, that is...
1. Wahenga wamesema ''Fainali Uzeeni'' we hilo unalionaje?
Yako mambo yasikuangaishe yatajirekebisha yenyewe ! Unavyoona hivyo ujue bado uzee haijakolea!
Utazidi kuwaona hao kama unavyoyaona;
magari mabovu ya kizamani na sasa, na hasa yakiongezeka nyakati za usiku na kupandwa kwa bei ndogo...
Naamini huu si muda wa kubishana. Sote tunahitaji ndege yetu ije, kwani kama imekamatwa hasara ni yetu sote kwa hiyo tuungane kuhakikisha ndege inapatikana. Kumtafuta nani kakosa au kuunda visingizio si sahihi na haina maana kwa muda huu , acha ipatikane kwanza ndiyo atafutwe Mchawi. Kwa fikra...
Watakusumbua ingia kwenye google andika tu haya maneno 1. show image of AK-47 na pili andika show image of SMG (SUB MACHINE GUN). UNAWEZA PIA ANDIKA DISTINGUISH BETWEEN ;Sub Machine Gun and AK-47 Gun. Shule kidogo kaka
Ila Onyo; Ni marufuku kuwa nayo au kutaka kuielewa kwa kutaka kufanya...
Baadhi ya sifa za mchezaji bora wa mpira ni; nguvu, ubunifu, kutokuwa muoga, uvumilivu, uwezo wa kufunga magoli hasa kwenye mechi kubwa. Ikitokea Mchezaji huyu akapata kadi nyekundu katika baadhi ya mechi Kocha na wenye timu usononeka sana na hasa wawapo kwenye mashindano makubwa. Na hata...
Dr Slaa wewe kama unarudi rudi tu Usitafute ushauri kwetu kwani hatuoni kama utakuwa na mpya ya kutusaidia WaTanzania. Utatuchanganya kwenye haya maisha ya bongo. Hata hivyo wakati unaondoka wengine hatukujua kama umeondoka. Si umesikia jamaa yako Prof Lipumba aliachia na sasa amerudi na...
You really hit the point! No there is a lot of cheating in the container transportation, they can't incur such a cost and all those mysterious! much of the gold and other minerals are hidden in sand JPM is correct, let us support him in this fight
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.