Recent content by Ekethocho

  1. E

    Walioiba kompyuta ofisini kwa DPP ndiyo waliomzushia ugonjwa Rais, ni mtandao umejipanga kupambana na Serikali

    Kuna tetesi kuwa wizi wa kompyuta za Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) Kanda Maalum ya Dar es Salaam umefanywa na mtandao wa watu ambao wamejipanga kupambana na Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Inadaiwa kuwa Mtandao huo umejipanga kuidhoofisha...
  2. E

    Mbowe atapatapa na kuwapotosha wananchi

    Mlimuita Msaliti haya ndiyo matunda yake
  3. E

    Mbowe atapatapa na kuwapotosha wananchi

    Jana tarehe 15/10/2019 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe alifanya Mkutano na Wana Habari kuzungumzia uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika 24/11/2019. Kwa ujumla mkutano wa Mbowe na Wana habari ulikuwa ni kama mfamaji na mtu aliyetaka kufanya upotoshaji wa Makusudi. nitajibu...
  4. E

    Mzee Jakaya Kikwete awaasa viongozi kuwa kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi. Kujimwambafai hakukufanyi uwe kiongozi zaidi

    hata hilo la kuweka rehami rasilimali zetu nalo ni hatari sana, JK hawezi kutuambia kitu
  5. E

    ATCL yasitisha rasmi safari zake za Dar kwenda Johannesburg, Afrika Kusini

    safi kwanini Ndege yetu iende kwenye nchi ambayo watu wetu hawapendwi?
  6. E

    Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    Na kweli tangu mmewaondoa kwa madai kuwa ni mapandikizi na wasaliti chama kimefanya nini cha maana?
  7. E

    Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    Kwa mujibu wa wanawake wa CHADEMA watakuwa mapandikizi
  8. E

    Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    Ningeshangaa sana kama wanawake wa Chadema wasingesema hivyo.
  9. E

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli

    Rais Magufuli 1. Ni kama Mti wenye matunda matamu kati ya miti mingi , lazima utapigwa mawe tu. 2. Ni kama dhahabu, haina budi ipitie kwenye tanuru ka moto ili iitwe dhahabu 3. Ni kama Nabii, kamwe hawezi kukubalika nyumbani 4. Ni kama mpigania uhuru kutoka kwa wakoloni, lazima Wakoloni...
  10. E

    Kuelekea 2020 Ni Vita: CHADEMA VS ACT-Wazalendo/Zitto Kabwe VS Yeriko Nyerere

    Hivi kuna mtu alikuwa na chuki na Zitto kama Lissu? Yeriko yuko sahihi, nadhani kama ni kweli kuwa LISSU anakwenda ACT basi atakuwa Msaliti namba moja kuliko wote walioondoka CHADEMA wakaitwa Wasaliti
  11. E

    Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula: Si haki hata kidogo kumtusi na kumdhalilisha kwa namna yoyote ile Rais Magufuli

    Mnahangaika na Lissu wakati mwenyewe alipo anafurahia tukio hilo kwa sababu imemfanya ale bata majuu. Binafsi naona kama kulikuwa na mpango waneutengeneza wenyewe, nina wasiwasi hata zile risasi hazikuwa risasi bali mayai visa.
  12. E

    Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula: Si haki hata kidogo kumtusi na kumdhalilisha kwa namna yoyote ile Rais Magufuli

    akina Shoo wa KKKT na Nyaraka zao mbona huwa hatuwaambii haya?
  13. E

    Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula: Si haki hata kidogo kumtusi na kumdhalilisha kwa namna yoyote ile Rais Magufuli

    Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama mwanadamu anayo mapungufu na hivyo ni haki kwa mtu ye yote kutofautiana na misimamo au mitazamo yake. Lakini si haki hata kidogo kumtusi, kumtweza, na hata kumdhalilisha kwa namna ye yote ile. Ukifanya hivyo...
Back
Top Bottom