Recent content by Ekaka

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru

    Sasa ivi kila Wizara imekuwa TRA inakusanya mapato...... Hazitoi tena huduma zinakusanya Pesa........ MitanoTena
  2. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Waajiri wamuonya Lissu kupotosha kuhusu ajira

    Huyu Habibu Mchange atakuwa anazungumzia familia yake na Si watumishi wa umma. Tangu mwaka 2013 Mtu hajapanda daraja. Watumishi wa Umma tumuambatanishe na Uyu tunapopeleka mashtaka yetu kwa MUNGU dhidi ya Hawa wakoloni weusi🙋
  3. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Msimamo na maono ndio Sifa kuu ya kiongozi Tuendelee kuchapa kaziiii
  4. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makongoro Mahanga afariki dunia asubuhi ya leo Muhimbili

    R. I. P Comred 🙏🙏🙏
  5. E

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    Roma katupa Jiwe Gizani Kwa kupitia fasihi kama tawi la sanaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kilicho cha Haki kitafika tu kwa mlengwa hata akiwa nyuma ya duniaaa Vivaaa akili kubwaaaa Viva Mwana Hip Hop halisi Viva baba Ivan Viva sauti ya wanyongee Vivaaa Romaaaaaaaa
  6. E

    JamiiForums Tanzania Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

    8Amefanya sanaa amefanya hip hop Wenye akili tumemuelewaaaa Viva Roma Vivaaaaa
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

    Uyo ni kumptezeaaaa Lakini Je ulishaoa?? Kama haujaoa ujue Ulikuwa unamsubiri mbebeeee tuuu
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aibu naona mimi

    hapo upepo wa kisuli suli umekuletea chaaaaaaakulaaaaa Tafuna tena tafunaaaaa
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuliowahi kula mtungo na wanawake mliowahi liwa mtungo tupeane uzoefu

    Nakumbuka mwaka 2013 Ndio nilikula mtungo Kwa Mara ya Kwanza na ya mwisho 🤓🤓🤓😷😷😷
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Kitanzania jifunzeni kutoka kwa Profesa Sarungi na Rais Mstaafu Karume

    Hakikaa usemachoooo🙏🙏🙏
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa wapendanao

  12. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa wapendanao

    Habar zenu wana jukwaa la wapenda nao. Leo napenda kusikia kutoka kwenu kuhusu Matukio au tukio La kujinga ambalo umewai kufanya au kufanyiwa na mpenzi wako. Mm Nakumbuka nimewai kuombwa denda / romance na mpenzi wangu darasani tena tukiwa tumekaa mbele kabisa ya darasa enzi Izo za kishule...
  13. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sitasahau Siku tupo chuo hostel, Demu wa rafiki yangu akaandaa party akaniomba niwe MC hahahahaha Nikaendesha party vizuri mpaka mwisho nikashangaa nyagi zinaletwa tukazigongaaa mwisho wa Siku mshkaji wangu Akaniambia Leo tunalala hapa hapa..... Akalala na demu wake upande ule upande mwingine...
  14. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kutokuwa na maelewano mazuri na wazazi wako kisa mke?

    Powerful🙌🙌🙌🙌🙌 Umetoa darasa tooshaaa🙏🙏
  15. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mzima unaishi kwa wakwe zako?

    Usitoe moshi puaniii Aiseee😂😂😂 Msamehe bureee atakuwa mvivuuu uyo hapendi kutumwaa Tumwa uyoo😂😂😂
Back
Top Bottom