Recent content by ejk

  1. ejk

    JamiiForums Tanzania Second round TCU inatoka

    Duuuh poa banaa we una akili acha machokoraa tusubir
  2. ejk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

    Simba stand up ouyooooooh ouyooooooooh Simba 2-1 yanga
  3. ejk

    JamiiForums Tanzania Second round post

    Mimi jana nimewapigia tcu wamesema majibu yanatoka kuanzia juma tatu ya wiki ijayo
  4. ejk

    JamiiForums Tanzania Second selection

    Next week zinatoka kijana tuwe na subira
  5. ejk

    JamiiForums Tanzania Second round post

    Majibu yanatolewa na TCU kwanza kaka,afu badae ndo vyuo vinatoa majina
  6. ejk

    JamiiForums Tanzania Second round post

    Tuwe na subiraa tu jaman kuanzia mwanzoni mwa wiki ijayo maana kwamba juma tatu au jumanne na kuendelea
  7. ejk

    JamiiForums Tanzania Wildlife Management-College of African Wildlife Management-Mweka

    Jaman msaada kuhusu hii cozi inayotolewa pale mweka...kuhusu suala la masomo,kujiajiti na soko la ajira kwa mtu atakaye maliza masomo....
  8. ejk

    JamiiForums Tanzania Kama hukusoma shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa vilaza mliopo hai

    Ifunda tech,the glorious
  9. ejk

    JamiiForums Tanzania Walioomba kusoma elimu ya juu Tanzania kupitia TCU(undergraduates 2016)

    Kwani hayo magroup ya WhatsApp ndipo TCU wanafanyia udahili acheni kujipotoshaa na kupatiana pressure Tukae kimya kila ki2 kinawekwa kwenye website ya tcu
  10. ejk

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaotarajia kuingia chuo mwaka huu zingatia haya mambo kabla ya kuapply

    Rudia rudia itakubal baadae cz na mm pia jana ilitokea hivo bt mwisho wa cku ikakubal
  11. ejk

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Washaanza ku apply kak na nackia mwisho trh 5
  12. ejk

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Kijana kapata Chemistry-D...Biology-D...na geography-C vipi wnaa jamii anaweza somea pharmacy,medicine kwa vyuo vya binafsi kama bugando,kcmc,kampala,archbishop james songea
  13. ejk

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    Yaah of cz kak
Back
Top Bottom