Ila jamani nchi hii🤔🤔🤔hivi wanakuwaga seriously kabisa wakitamka kupambana na RUSHWA??? Hebu wafumbue macho basi nyakati hizi waone RUSHWA inavyotembea kama Haina akili😏😏😏
Hivi Mimi nimshtaki anayetoa ten sh au laki mbili huku wanaokula mabilions of hela wako uraiani wanatamba nazo TU🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️nitakuwa Nina akili kweli Mimi huyu🤔🤔🤔
Katika mambo Watanzania tungekuwa tunahitaji kumwomba Mungu na Miungu yatuepuke basi ni hawa watumishi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Wagagagigikoko
Na bahati mbaya sana kumbe ni kweli WANATUONA NYANI TUU 🤣 🤣 🤣 👋🏿 👋🏿
Mungu wangu nisaidie sana nisijue kuwa miongoni mwa watumishi wa CCM pamoja na kwamba ni mwanachama
Nilikuwa nikisikia kuwa ukiwa mwana CCM unakuwa kama kichaa anayesubiri muda wa kuokota makopo,sasa nimeamini hakika jnawezekana🤣🤣🤣
Nilitamani nikutukane ila bahati mbaya kanuni haziruhusu
Lakini ukweli ni kwamba utakuwa mwanaume wa ajabu sana na utakuwa umetuaibisha sana wanaume wenzako,Kwa mujibu wako huyo Binti ni mke aliyetayari kukuzalia hata watotolakini pia hata mama mkwe Yuko tayari kukupokea wewe kama mkwe ila...
Ningekuwa ni Mimi ningeangalia jambo hili Je! Nani alimkosea mwingine?? Kama ni Mimi hakika nitakwenda na kumwambia anisamehe na turudiane ila kama ni yeye n muhimu aniombe msamaha ili turudiane
Wanajitoa akili TU ila muda si mrefu tutasikia limefunguliwa😆😆😆 serikali ya Tanzania inavyopenda vya kuombeleza hasa pesa ni chap TU wanaachilia. Kama Diaspora wananyima uraia pacha ila mambo ya pesa wanakaribishwa🤣🤣🤣🤣
Ikiwa TU huku mitaani kwenye hizo taasisi za serikali mambo hukwama Kwa kisingizio Cha kukatika kwa mtandao ije kuwa kesi kusikilizwa online kweli🤔🤔🤔🤔🤔🤔 Hakika serikali za Africa hazijawajua kabisa raia wake ndiyo Maana hujifanyia yale watakayo wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.