Recent content by eisal

  1. E

    JamiiForums Tanzania Harambeeee ya kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono Magufuli na Daudi Bashite

    andika mambo ya maana sio Pumba
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mh Rais Joseph Magufuli tengua kauli yako tupate mkopo.

    piga moyo konde... We kaza tu mwanzo mwisho.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko haya katika anga yanaashiria nini?

    Situmii bible but Kwa Quran similar also occurred kwa mtume Muhammad s.a.w . Jua halijibu kwa mtu ila mtu akiomba kupitia Mwenyezi mungu basi hapo Mola ndo anaweza mjibu mja wake kwa kuliamrisha jua [emoji295].
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko haya katika anga yanaashiria nini?

    The Sun [emoji295]
  5. E

    JamiiForums Tanzania Aliyechaguliwa MUST tukutane hapa

    Degree ya Civil Eng
  6. E

    JamiiForums Tanzania Aliyechaguliwa MUST tukutane hapa

    Aliyechaguliwa Mbeya University of science andtechnology tafadhali anipe update ya kinachoendelea chuoni endapo ameshawasili au atakama anajua lolote kwasasa
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko haya katika anga yanaashiria nini?

    Umekufuru na kauli yako, yaweza ukawa umeiweka kiutani lakini haipendezi, coz Jua never answer to a Human being
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kuna athari gani kwa anayefaidika na mkopo HESLB kurudia mwaka wa masomo?

    Unarudisha 25% na unaomba mkopo upyaaa
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kuna athari gani kwa anayefaidika na mkopo HESLB kurudia mwaka wa masomo?

    Kuna athari, utatakiwa kuomba tena lakini maombi yako yatafanyiwa mchakato ikiwa utarudisha 25% ya jumla yote ya pesa au mkopo uliopata kutoka loan board. Hiyo kwa ufupi
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

    Mbeya chuo gani ndugu?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Bado majina hayajaisha usikate tamaa sasa, all da best
  12. E

    JamiiForums Tanzania HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

    Pitia kwenye website yao kabisa, helsb then nenda kwenye update za habari utaona hiyo taarifa ambayo inadirect link ya kuangalia mkopo na sivinginevyo
  13. E

  14. E

    JamiiForums Tanzania Account yangu ya helbs siielewi!!

    Tcu wametoa majina, nit wakiwamo
  15. E

    JamiiForums Tanzania Account yangu ya helbs siielewi!!

    Batch uwa zinachelewa kutoka, zinaweza fika ata zaidi ya tano na zikachukua hadi November - December ili ziishe, zikiisha wanafungua appeal ya mkopo Kwa waliokosa, Cha msingi fight uanze chuo kwa namna yako wewe if possible, all da best, on the same boat
Back
Top Bottom