Recent content by Einstein77

  1. Einstein77

    JamiiForums Tanzania Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    Kumbe ni majiran ila mm kesho ndo waaga bariad
  2. Einstein77

    JamiiForums Tanzania Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    Nipo bariadi hapa sima, kesho nlitaka nirud dar ila hapana nataka nirud na utajir
  3. Einstein77

    JamiiForums Tanzania Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    Kwa mahesabu ya haraka ni zaid ya mil 3
  4. Einstein77

    JamiiForums Tanzania Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    Ww ni mtu wa bariad mkuu?
  5. Einstein77

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Nilikua napenda drama za kikorea ila saiz wameishiwa stori, wamehamia kucheza stori za kufikirika mfano i) mtu anaishi maisha ya mbele au nyuma ( time traveller) mfano wa movie ni FAITH ii)Mtu anabadilika kuwa samaki, mbwa, chura, mfano mzur ni MY GIRLFRIEND IS GUMINHO iii)Watu wa kutengeneza...
  6. Einstein77

    JamiiForums Tanzania Vijana na wazee mliopo kwenye ndoa msipende kujibu SMS za michepuko zinazotokea juu ya Screen

    Yalishawah kunikuta hayo nlikua machat na mademu wawil kwa wakat mmoja huku nikiangalia movie kwny cm
Back
Top Bottom