Ok tuanze na mbegu nzuri inakua shilingi ngapi dukani inayotosha heka moja..? Kukodi shamba bei?? Kulima na kupanda. Na dawa zitakazo saidia kulinda mmea toka mwanzo kitaluni mpaka zikiwa tayari kuvunwa. Kwa kifupi nipe mdodoso wa kilimo cha nyanya kwa heka moja reference hapo ulipo wewe. Ili...
Acha tuuze bei nzuri. Watu muna roho za kinyama kweli kweli.
Wakati wakulima wanalima wewe upo ofisini unafuta futa kiatu king'are afu leo kwenye kuuza unataka kuleta utahira wako.
Sasa wakuu nipende kuwauliza jambo langu.
Kwa morogoro mashamba wanakodishaje nikimaanisha bei.
Na je vipi wanalima msimu wa mwezi wa 10, 11, 12 ili wavune kuanzia december na January kuendelea.?
Ni mwendelezo mama anajitahidi kwa kweli. Ualimu wameomba, udaktari na wale walioandamana wa jkt wameitwa na bado watatangaza zingine. Tuwe na shukran hata kwa kdgo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.