Recent content by eima

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Salamu za sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya kwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

    Yaani unipige risasi zote zile kisha nisikuchukie? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania Watawala wetu, tupeni "updates" ya ndege yetu iliyokamatwa huko Canada

    Hii clown haiwezi kuelewa, lipuuze tu
  3. E

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyokuwa katika Jiji la Dar wakati vijana CHADEMA wakimchukulia fomu Mbowe

    Mbowe ni mkakati wa mfumo, ni sehemu ya wale wanaolinda elites waendeleze status quo
  4. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Unamfahamu muuaji wa ben saanane
  5. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mtu akitaka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM aliyevaa kijani

    Km kweli ni mbabe embu aweke uraisi pembeni hata kwa sikuu moja
  6. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    Imani ya watu kwa chama huanza na mwenyekiti na ukiisema ccm mwenyekiti wao huwa anakaa not more than 10yrs. Kingine ni kuwa kwa siasa zetu za Africa kuwa tu mtu makini haitoshi, issue ya kufahamika (popularity) ni muhimu sana
  7. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    Sawa sina access na kura na nyie wenye nayo ni beneficiaries kwa mbowe kuendelea kuwa chair na mko mfukoni mwake na kwamba yeyote anayepinga ni lumumba. This time huo upuuzi hautafanikiwa, rest assured nyie wote wenye access kuwa this time mwenyekiti wa cdm ni Tundu Lissu
  8. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    Sasa hapa hoja yako ni nini? Km we ni paid troll wa mbowe basi mbowe hana tofauti na chakubanga based on types of trolls they recruit, low iq bots. By the way chakubanga aweza pia kuwa mwenyekiti wa cdm km ambapo lowassa amekuwa mgombea uraisi wa cdm baadaya kukatwa kule na chakubanga.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    Mi naongea maslahi ya chama kikuu cha upinzani Tz na nafikiri mbowe anaelewa hilo na km haelewi this time tutamwelewesha kuwa Tz hatuna utamaduni wa kumtegemea binadamu moja na kwamba km ni yeye pekee ndo anaweza kuwa mwenyekiti na bila yeye cdm itakufa basi ife yeye akiwa hai na Tundu Lissu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    Acha ushamba, unaposema haiwasaidii we na nani? Kuondolewa ubunge kuna husiana vp na Lissu kuwa mwenyekiti cdm km siyo akili ya chato? Iko hv kwa Tz hiyo biashara ya kumtegemea binadamu moja haipo na haitakuwepo unless mnataka cdm iwe sawa na the likes of tlp.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Haijawahi kuwa rahisi kuwaongoza watu wenye njaa

    Sana
  12. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    So kwa mfano mungu aepushe mbali akafa leo ndo mwisho wa cdm? This time Mwenyekiti ni Tundu Lissu
  13. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    Marcus ndo nani, au anaibula km mashinji? Mwenyekiti this time ni Tundu Lissu
  14. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    Hv mko serious mnamtaka mbowe? Yaani 15 years haitoshi siyo? Iko hv ikiwa Tundu hatakuwa Mwenyekiti wa cdm this time propaganda za ccm kuwa cdm ni ya wachaga itakuwa confirmed
  15. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    #Mbowe Tano Tena# Mkuu kwa akili km hz za kwako cdm haiwezi kwenda mbele. Ni hv acheni upuuzi, mbowe ameshafanya yake inatosha. Mwenyekiti na mgomnea uraisi wa Tz ajaye ni Tundu Lissu period.
Back
Top Bottom