najua mda umeshapita, ila next time jaribu kuna mgahawa upo top floor ya Best Western City Hotel pale otherwise nenda kwenye hotels, binafsi naiaminia/ recommend zaidi legendary hotel, Dodoma Hotel
MWANDENDEULE mdau vipi, ulifanikiwa kununua hii? If so, tafadhari shea experience. Ipoje in terms of ulaji wa mafuta, performance barabarani na maintenance?
Habari,
Naulizia kwa mwenye uzoefu wa hizi scooter za Kichina, TVS Jupiter (sina uhakika kama kuna models, brand nyngne) ambazo kwa mwonekano ni kama Honda Click ama Yahama. Changamoto yake hasa ni nini na durability yake ipoje, nipo interested kutafuta moja kwaajili ya town trips za kila siku...
kama unawafungia madereva na wengine wanaendelea kumwaga moto manake una deal na channel ambayo sio sahihi. Watu wa kudeal nao ni wanaomanage system, hawa madereva ni wahanga wa mwisho tu.. rules should be simple, gari imeviolate speed piga fines kama zilivyo, tajiri akikasirika yeye...
haya pia ni mawazo mazuri ila kwa uchumi wa nchi yetu, sio mpango wa kesho ama kesho kutwa ni wa miaka mingi mbele ie kuweka double road, kikubwa ni userious katika njia mbalimbali walizoziweka tayari
Habari wanajamii,
Aisee nimekuja kuweka kero yangu hapa nikitumaini pengine mamlaka husika zitaona na kuangalia namna ya kutatua changamoto hii.
Nianze kwa kupongeza Serikali na mamlaka husika namna zinajitahidi kupunguza madhara yatokanayo na ajali za barabarani hususani kwa mabus. Siku hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.