Yes, ukijua huu wenzio wanajua ule. Kama wameonywa, wakashauriwa na kutafadharishwa na hakuna dalili ya wao kuwajibika acha wawajibishwe. Zile damu hakika hazitapoa na haya yoote chanzo ni huyo madharau
Kujichagua alafu ukajiapisha bila ridhaa ya wenye nchi yao ni kazi bure, nchi si sawa na masikani ama genge ...kama hauwezi kuwaheshimu wenye nchi yao we nani?
Ni mwehu tu anayeweza kuwaelewa hawa jamaa. Yaani hicho hicho kitabu ndo kilimpa yeye kula (2021-2025) alafu eti anakiita "kajitabu". Na hajuhi kupitia hicho kitabu yeye ni mtumwa wetu badala yake anageuka chatu mkubwa na kuanza kututisha na kutuua
Na wanyongwe kabisa, unatakaje kutawala raia uliowaua kwa mkono wako mwenyewe, labda kama unataka kutawala mafuvu ya vichwa vyao na maiti zao else they must face the consequncies
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.