Recent content by Egg mayai

  1. Egg mayai

    Vipi kuhusu mchezo wa Ali express, Si utapeli huu?

    Ndo nastuka hapa washkaj wanaplay kam wako waaminifu, mpaka mekosea muamala wameurudisha fresh tu. Ila nahs kam wana target yao ndo nkasem niulze kwa wenye experience
  2. Egg mayai

    Vipi kuhusu mchezo wa Ali express, Si utapeli huu?

    Wakuu, kuna huu mchezo unaendlea huko telegram , unapewa link unaingia kwenye web ya Ali express unalike bidhaa zao unalipwa. Yeyote mwenye experience, hii ni genuine kwel maana nachojua hamn pesa rahisi hasa mtandaoni. Binafsi nimelipwa hapa ila nahisi kam ni mtego.
  3. Egg mayai

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji1787][emoji1787] funguka askari... Umekutan na kiharufu fulan hiv au Gonno ?
  4. Egg mayai

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii site gan mkuu. 22bet au
  5. Egg mayai

    Utoaji wa tiketi kwenye mabasi uzingatie jinsia

    [emoji1] anza kuoga na sabuni ya Unga Bro.
  6. Egg mayai

    Utoaji wa tiketi kwenye mabasi uzingatie jinsia

    [emoji1787][emoji1787] umepambania jina la chama kwa kweli, ubarikiwe kwa roho hyo ya upendo kwa mama na mtoto. #Netx time kuwe na Happy ending sasa[emoji6]
  7. Egg mayai

    Utoaji wa tiketi kwenye mabasi uzingatie jinsia

    Sanaa aseeh tena kama haujakaa na age mate ndo patamu. Story mpaka mda wa lunch tu na hapo unamkaribisha chakula tu
  8. Egg mayai

    Utoaji wa tiketi kwenye mabasi uzingatie jinsia

    Hivi kumbe niliandika School Bus [emoji2367]
  9. Egg mayai

    Utoaji wa tiketi kwenye mabasi uzingatie jinsia

    [emoji2] tukupandishe cheo aseeh...
  10. Egg mayai

    Utoaji wa tiketi kwenye mabasi uzingatie jinsia

    [emoji38] hili swala la tip tutalianglia
  11. Egg mayai

    Utoaji wa tiketi kwenye mabasi uzingatie jinsia

    Kama mwanachama wa vijana wa hovyo naomba kuwasilisha ombi kwa wakatisha tiketi, wawe wanatupanga kwa kuzingatia Gender Balance. Safari zinakuwa ndefu sana ukiangalia back bencherz ni Girls tupu kama wapo Clinic[emoji17]
  12. Egg mayai

    Wangapi mahusiano yetu hayajauona mwaka?

    Sawa madam.. nasubri PM yako.. maan sina hata moja as we speak.
  13. Egg mayai

    Wangapi mahusiano yetu hayajauona mwaka?

    Lin tunaanz lecture [emoji6]
  14. Egg mayai

    Wangapi mahusiano yetu hayajauona mwaka?

    Tutakukumbuka kweny maombi yetu[emoji2]
  15. Egg mayai

    Wangapi mahusiano yetu hayajauona mwaka?

    Maisha ni sasa na sasa hivi.
Back
Top Bottom