Recent content by EEF

  1. E

    JamiiForums Tanzania CV ya Dr. Francis

    mkuu wana ukawa wameishiwa wanahaha sasa, wameumbuka kupita maelezo hati ya muungano kupatikana na sasa watajifanya wanapotezea hawataiongelea, hawana chakusema tena wataishia kuleta mipasho na majungu yao kama kawaida. wameshindwa kupata kura kwa wananchi wanaishia kuendekeza lugha chafu na...
  2. E

    JamiiForums Tanzania CV ya Dr. Francis

    msalimie mcheza ngoma mwenzio vicencia shule na wenzake...hawa ndio wanafanya kazi ya kutembeza sumu..ndio maana nikawaomba na nyie CV zenu maana tunawajua hamna kitu..tembezeni sumu lakin ukweli daima utasikika..mimi niko hapa UDSM namfahamu francis, na tangu mchakato wa katiba unaanza yeye...
  3. E

    JamiiForums Tanzania CV ya Dr. Francis

    kumbe mnalifahamu hlo. vitu vingine havihitaj kupata GPA ya 5 Jaman. Dr. Francis amezungumza anachoona kinafaa. hakutete mafisad wala wizi wowote na hilo nalo ni kosa? si kila anachokisemwa na ukawa ndo iwe kama biblia au msahafu. hii ni haki ya msingi ya kila mtanzania kukisema anachoamin ni...
  4. E

    JamiiForums Tanzania CV ya Dr. Francis

    acha wivu wa kike boya wewe..
  5. E

    JamiiForums Tanzania CV ya Dr. Francis

    hahahaha umechemka kijana.. dr. Francis hajawahi kusoma BA (ED) wala hyo MBA hajasoma Umea-Sweden, na hyo PGD liifanya baada ya kuwa ameshapata PhD...kajipange tena Wacha papara na wivu wa kike. leta na ww CV yako na ya baba yako..
  6. E

    JamiiForums Tanzania CV ya Dr. Francis

    Acheni kuwa na fikra finyu. huyo aliepost CV ya Dr. Francis mwenyewe haijui, acheni wivu wa kike nyie. Dr. hajawahi kusoma BA (ED) wala hiyo MBA hajasome UMEA-Swedeni.. mnakurupuka tu ebu nendeni mkajipange tena. ana elimu ya kuungaunga leteni na nyie cv zenu tuone...hao ukawa wenyewe wamesoma...
Back
Top Bottom