Recent content by Edwin Canisio

  1. E

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanawake Bunge la katiba ni waimbaji wa taarabu??

    Wana Jf,,,nahoji uelewa wa wanawake waliopo bunge la katiba baadhi wa 201 na ccm pande zote mbili za muungano. Hivi, wameenda kujadili kwa hoja au kupiga mipasho ya taarabu pamoja na kushangilia kama washabiki wa liverpool????? Ni aibu kwa nchi yetu! Eti haki sawa! Kwa ustarabu gani? Mipasho na...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Naogopa kusema ukweli!

    Nisaidieni kwanza nibadili ID maana nina info. nyingi mno ila naona nikisema kwa ID hii ni sawa na kuoga Ubungo mataa mchana kweupeee....! Kila mtu ataniona mm.....
  3. E

    JamiiForums Tanzania Naogopa kusema ukweli!

    Habari wana Jf..kuna vitu naviona ktk jamii yangu vinafanyika kinyume na utaratibu wa maisha ya mwanadamu...lakini naogopa kusema kwenye mkusanyko wa WanaJf. kwan masinichi kutokana na ID yangu watanitambua na kunifanyia kitu mbaya..Je, nifanyeje?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    kijana wapi..wakati ni mzee kabisa ( kapuya) ..vijana hawana mawazo ya ubakaji ( usaliti)
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    hakika zzk hatufai tena makamanda...aende tu ccm
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hodi wana jf.

    mm ndo naingia
Back
Top Bottom