Recent content by edward pais

  1. E

    DC Kiswaga aliyewadhalilisha watumishi wa afya Simiyu hana tofauti na DC Mnali aliyewachapa viboko walimu

    DC alishakufa zaman, kwake kimara bonyokwa ilikuwa majonzi
  2. E

    Hii Gari kaka zangu na rafiki zangu mnasemaje?

    Binafsi naona km kila mmoja anachangia kwa kuvutia upande wake, wengine kwa wanachangia kwa kuponda bila data na wengine wanatumia uzoefu wa kweli. Binafsi hilo gari aina ya Brevis ni nzuri tu km ilivyo crown au athletic. Kwa upande wa mafuta ninachokifahamu haitaki mafuta ya elf 20 km mshale...
  3. E

    Uwanja wa ndege Dar waingia 10 bora Afrika

    Haya tutajie basi uwanja no Moja hadi kumi, na hivyo viwanja viko nchi gani
  4. E

    Natoa tu Ushauri: Chato liwe Jiji na pia vitu hivi viongezwe

    Inaitwa sakazim in litirecha
  5. E

    Magari yenye Open Roof

    Elewa mada mkuu
  6. E

    Magari yenye Open Roof

    Wanajamii salaam. Naomba kujuzwa kwa wale mafundi wa magari na wale wenye uelewa wa magari ingawa si mafundi. Gari yenye open roof huwa yana ubora gani, je yanatumia mafuta sana. Na kama inasababisha kutumia mafuta mengi kiufund yanatumikaje. Je ni mapambo au madoido ya urembo Wa gari. Je open...
  7. E

    MSAADA WA KISHERIA. Unapotaka kununua Gari kwa mtu

    Aisee kumbe kuna ka mchakato
  8. E

    MSAADA WA KISHERIA. Unapotaka kununua Gari kwa mtu

    Nashukru wakuu kwa elimu murua.
  9. E

    MSAADA WA KISHERIA. Unapotaka kununua Gari kwa mtu

    Wanajamvi naomba kujuzwa ni utaratibu upi wa kisheria mnunuzi wa gari unaufata unaponunua gari kwa mtu. Mfano ni nyaraka zipi unatakiwa upewe na mwenye gari au nyaraka zip unapeleka TRA kibadili jina la mmiliki. Kwa
  10. E

    Mwaka mmoja wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Dr. Bashiru Ally

    Lakini je bado anaziishi itakadi sake za ujamaa au analamba nyao...
  11. E

    Mwaka mmoja wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Dr. Bashiru Ally

    Nafikiri mbinu za ushawishi wa madiwan na wabunge hakuzianzisha yeye. Alikuta mwenzake na Katibu mkuu Itakadi na uenezi walishapuliza kipenga
  12. E

    Mwaka mmoja wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Dr. Bashiru Ally

    Salaam wanajamvi. Siku ya leo tarehe moja June, Katibu Mkuu wa CCM ametimiza mwaka mmoja akiwa madarakani. Yapi mafanikio na mapungufu yake aliyoyafanya katika kuongoza Chama kikongwe barani Afrika. Je, kuna mbinu zozote mpya za kiutendaji alizokujanazo tofauti na za mtangulizi wake. Karibu...
  13. E

    Kuhusu Mitihani ya Carry over

    Hata hivyo SAUT you are building the city of God. No fees no school.
  14. E

    Kuhusu Mitihani ya Carry over

    Sema ni Mimi nina hivyo vimeo, uzuri humu ndani hatujuani kwa majina halisi. Sasa ya nn kutolea mf kwa jamaa yako wakati unajua ni wew
Back
Top Bottom